Search results

  1. Braitfyucha

    Fursa ya Ajira(Wasap no.0652058349)

    Habari za muda huu wakuu, rejea mada tajwa hapo juu Natamani kuona vijana wa kitanzania wakipiga hatua kiuchumi mwaka huu wa 2020. Kama utahitaji njoo pm au nitext kwa namba yangu wasap nimebandika hapo juu Yeyote anaetaka kuwa huru kiuchumi karibuni. NB:Sihitaji watu wasiokuwa serious na...
  2. Braitfyucha

    Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

    Habarini wakuu,, Niende mojakwamoja kwenye mada Ni kweli kwamba wanawake ndoto yao kubwa huwa wanawaza kuolewa Yani hilo hata halina mpinzani wanawake siku zote wanawazaga katika fikira zao kuwa ipo siku atapata mume ataolewa atakuwa na familia yake(Women can't think beyond marriage). Sasa siku...
  3. Braitfyucha

    MSAADA JINSI YA KU CREATE WEBSITE

    Habarini wakuu. Kwa aliye na uzoefu kuhusiana na mambo ya utengenezaji wa tovuti hatua zipi nipitie ili kuwa na domain yangu Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Braitfyucha

    Kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba?

    Wakuu habari za wakati huu. Niende kwenywe mada hivi kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba? maana kuna jamaa mke wake hataki kupika,kuosha vyombo wala kuogesha watoto yani yeye ni kukaa tu Akijisikia ndo anapika ama kuosha vyombo kama hajisikii ndo basi tena inabidi wewe mwanaume ujiongeze...
  5. Braitfyucha

    Hatuoi mpaka waache umalaya

    Wadau niende moja kwa moja kwenye mada. Ukifuatilia kwa sasa hali imekuwa tete sana hasa kwa dada zetu. Wanazisaka ndoa kwa fujo wengi wamechanganyikiwa sababu umri unaenda, anazidi kuzeeka hata wa kumwambia "will you marry me?" hamuoni. Vijana wanasuuza marungu yao wanasepa huku wadada...
  6. Braitfyucha

    Wanaume nao wanadai wanawake ni wapiga mzinga tu sikuhizi mpenz ya kweli hakuna

    Habarini za muda huu wanajf,, kuna kitu kinanitatiza sana hasa katka ulimwengu huu wa sasa ambapo tunaona hali inazidi kuwa mbaya tu kila kukicha,tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika wanawake wadai wananyanyasika katika ndoa,, vijana wamekata tamaa boyz wanawalaumu wadada kuwa hawapendeki girls...
  7. Braitfyucha

    MGENI.

    Habari za muda huu wanaJf, Mimi mgeni hapa nikarikisheni Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom