MSAADA JINSI YA KU CREATE WEBSITE

Habarini wakuu.
Kwa aliye na uzoefu kuhusiana na mambo ya utengenezaji wa tovuti
hatua zipi nipitie ili kuwa na domain yangu

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
ok naona kama ni mgen sana na unatafuta mwanga,,,,kama unataka simple website kwa ajili ya mambo yako nunua domain ni bei ndogo then ingia kwenye platform ya blogger unaweka mambo yako then after unaweza kuingia kwenye platform nyingine kama wordpress,,,,... <nadhani unataka kumiliki website sio ku-develop/ au kuwa developer wa website zenye database yako>
 
Bado sijatengeneza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Tengeneza website - Tengeneza website yako kwa technologies unayotaka wewe e.g HTML, Java, .NET etc

2. Register domain name
- Domain name ni address ya website yako. e.g. jamiiforums.com
- Kuna makampuni mengi sana yanatoa huduma za Domain Name Registration e.g. Duhosting.com, etc

3. Tafuta Web Hosting service provider
- Web host ni server inayopatikana dunia nzima unapoweza kuweka files za webiste yako.
- Utapa storage ya kuweka files za website yako ili ziweze kufikiwa na watumiaji wa website yako
- Tanzania kuna Web Hosting Service providers wengine e.g. Duhosting. Pia unaweza kutumia hosts waliopo nje ya nchi kwani bei zao zinakuwa chini zaidi e.g. godaddy.com, arvixe.com, etc

4. Install FTP client ( e.g. FileZilla) kwenye computer unayotumia kutengeneza website yako
- FTP client ni tool inayokupa uwezo wa ku upload files za website yako kwenye hosting server uliyopewa na host wako #3

5. Upload files za website yako kwa kutumia FTP client #4
- Soma Google jinsi ya kutumia Filezilla FTP feature

6. Fanya majaribio ya website yako

7. Share link na wadau hapa tutoe maoni ya website yako
 
Back
Top Bottom