Search results

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BOOOOOM Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man city vs leicester city 1Win &GG 2.46 Barcelona vs d, alaves 1Win &GG 2.58 Odds 6.34 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Kweli kabisa, mda mwingne inabid wati waache kuwasikiliza hao wanaojihita wasomi sasa kwe upande wa sabuni inahitajika research ya nn ya soko, soko la sabuni ni pana sana na nirahisi sana mradi tu uwe na product nzuri, soko kubwa kwanza ni mtaani kwako au mji wako, anza na vile tuviduka vya kina...
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over/under, inasimama badala ya goli ngap
  5. M

    Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

    Ila tanga kwa uchawi kiboko duh, niliwah fika maramba,kijiji loko dah ebhn watu wakule wanapenda na kuendekeza uchawi kama kula vile, ndio mana ht maendeleo hakuna vijumba vya udongo ving mpk karne hii, wakat ukitembea vijiji vingi bara huwez kuta vijumba vya udongo ving km tanga aisee
  6. M

    Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Tena kwe kilimo aingie kwe bustani ni aina ya kilimo cha mda mfupi na hakina gharama kubwa ya uendeshaji wake , mazao yke kama, bamia, nyanyachungu, pilipili hasa za mwendokasi, au mboga mboga za majan, hiz akitulia itamsogeza seheme, chakuzingatia mfn km izo bamia, nyanyachungu,pilipil alime...
  7. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Iv izi over0.50, over 1.50, 2.50 Zina maana gan wadau
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba mnieleweshe hpo kuhusiana na hom goal over/under na away goal over/under inamaana gan, sorry mgen ktk gem,
  9. M

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mkuu unanunuaga wap hizo nguo, na mfno kwa jeanz kal za kiume huanzia shs ngap
  10. M

    Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Mkuu inawezekana nashindwa jinsi ya ku upload humu lkn video inaonesha hiyo
  11. M

    Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Video jinsi kifaa kinavyofanya kaz,
  12. M

    Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Mkuu shida sio kwako, ebu jaribu kuliangalia tena maana huku ina play vizur
  13. M

    Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Ndio mkuu mahindi yakiwa makavu kidogo tu yanapukuchuka,shida yakiwa mabichi ndio tatizo
  14. M

    Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Habar wana JF Nauza vifaa au manual mashine, vya kupukuchulia mahindi, (hand maize corn sheller)kwa wakulima wadogo wa mahindi Badala ya kutumia mikono,au visu au njia ya kupiga na magongo mahind sasa waweza tumia hiki kifaa, Unauwezo wa kupukuchua gunia la debe 6,7 ndan ya lisaa tu. Mahindi...
  15. M

    Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

    Yea ni kwel kuna weusi wenzetu ndio shida sbb km wanatoa 15k per day, weus wenzetu wanakupa 10k per day, afu kazi ngumu kinoma, kimazingira, maladhi nk. Iliinabidi muheshimiwa afikishiwe maana watu wanadhulumiwa sbb ht wachina wenyewe hawalifaham hil, na sio huko tu kwe miradi ming sana na sehm...
  16. M

    Mashine ya kuvunia mpunga inauzwa,

    Mkuu tembelea youtube search paddy cutter machine utaweza ona jins inavyofanya kaz
  17. M

    Mashine ya kuvunia mpunga inauzwa,

    Kwel kbsa mkuu iko vizuri,narahisisha sana uvunaji
Back
Top Bottom