Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

mcheche

Member
Feb 21, 2019
56
60
Habar wana JF
Nauza vifaa au manual mashine, vya kupukuchulia mahindi, (hand maize corn sheller)kwa wakulima wadogo
wa mahindi
Badala ya kutumia mikono,au visu au njia ya kupiga na magongo mahind sasa waweza tumia hiki kifaa,
Unauwezo wa kupukuchua gunia la debe 6,7 ndan ya lisaa tu.
Mahindi yanatoka mazur,hayana vumbi,haya pondeki na kiini chake na unaweza kutumia tena km mbegu

Kifaa hik ni material ya chuma chenye uimara wa kukaa miaka mingi,
Bei ni shs 5000 kwa kimoja,
0716230633, nipo morogoro
IMG_20180402_173709.jpeg
IMG_20180402_173859.jpeg

0716230633, nipo morogoroView attachment 1153269View attachment 1153270View attachment 1153271View attachment 1153276
Video jinsi kifaa kinavyofanya kaz,
 
Ndio mkuu mahindi yakiwa makavu kidogo tu yanapukuchuka,shida yakiwa mabichi ndio tatizo
Mbona unatufanyia kama Abunuas ndugu yangu. Umeweka sauti bila kifaa chenyewe. Umefanya ubunifu mzuri sana ila jaribu kurikodi jinsi kinavyofanya kazi halafu upost.
 
Mkuu inawezekana nashindwa jinsi ya ku upload humu lkn video inaonesha hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom