Search results

  1. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    Chadema tuongeeni kidogo Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo! Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli. Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
  2. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Ifike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya. Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa...
  3. Eng. Y. Bihagaze

    Uamuzi wa kuinyima Tanzania msaada sio wa busara

    How Come!! Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini.. Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao...
  4. Eng. Y. Bihagaze

    Rai yangu kwa mhe Rais Magufuli

    Kuwa Rais na Kiongozi mkuu wa wananchi ni Jukumu kubwa.. Usitarajie hata siku moja kwamba utasifiwa na watu wengi.. jua Malipo halali ya Kiongozi yeyote hulipwa na Mwenyezi Mungu.. Kiongozi mkuu anapoamua kuambatana na Jamii ya watu wanyonge wasio na sauti.. ni kama kujivika mabomu ni...
  5. Eng. Y. Bihagaze

    CCM haiwezi kuvuka miaka 40 ya kutawala kwake. Haiwezekani!

    Hakuna chama duniani kinacho weza kutawala mfululizo zaidi ya miaka 40 CCM inaondoka madarakani rasmi baada ya Uchaguzi wa tarehe 25 October 2015, Hakuta kuwa na Fujo yoyote wala Msuguano wa aina yoyote kama baadhi ya watu wanavyotaka iwe. Kuondoka kwa CCM madarakani sio kosa la Rais aliyeko...
  6. Eng. Y. Bihagaze

    Rai ya Mhandisi kuelekea uchaguzi mkuu October 2015

    Watanzania wenzangu Turudie kwanza kamsemo ketu kwamba Nchi hii ni yetu sote, na kwamba hayupo mtu au raia yeyote anayeweza kujibatizia uhalali wa hatimiliki ya nchi hiii . Watanzania wote mbali na majukumu yetu ya kifamilia lakini siku haiwezi kuisha bila akili zetu kuwaza juu ya wajibu...
  7. Eng. Y. Bihagaze

    Tupeane angalizo na rai kwa wote

    Wadau Wenzangu kadiri Siku zinavyo kwenda kwa kasi, Nyakati za uchaguzi mkuu wa madiwani, Wabunge na mkuu wa kiti unasogea zaidi, Ni vema tukawekana sawa mtu asijesema hakuambiwa yakamkuta ya kumkuta. kasi hii ya kusogelea uchaguzi inakwenda sambamba na kasi ya shauku ya wengi, vijana kwa...
  8. Eng. Y. Bihagaze

    Nchi huongozwa na akili za Rais aliyeko madarakani

    Tunaweza kuongea mengi Tukaichambua katiba na kuiremba tutakavyo,tukaongelea mihimili mitatu au minne hata kumi ya serikali na utendaji wake. tukaongelea utawala wa sheria asubuhi mpaka jioni Lakini Ukweli unabakia pale pale, nchi huongozwa na AKILI za Rais aliyeko madarakani.Rais ndio...
  9. Eng. Y. Bihagaze

    Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Nduguzetu Jumapili hii ya tarehe 9-Novemba, kwenye viwanja vya wazi vya Tanganyika packers , eneo la Kawe ndani ya Jiji la Dar-es Salaam ile Helcoptel iliyotajwa sana na vyombo vya habari Itazinduliwa na Mheshimiwa Edward Lowasa aliyekuwa Waziri wetu mkuu. Helcopter Itatua katika viwanja hivi...
  10. Eng. Y. Bihagaze

    Ajali Ubungo, Dar: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka!

    Anga la maeneo ya Ubungo limetanda Moshi mzito Na Moto. Mlio karibu mtujuze ======== UPDATES: Ajali hii ni lori la Mafuta
  11. Eng. Y. Bihagaze

    Hivi hili Gogo ni Gogo Kweli au Gongo hili!

    Kama Leo mnatumia zaidi ya Fedha, zaidi ya Hotuba, zaidi ya Ushawishi kulisukuma hilo GOGO mlilolitengeneza wenyewe, Na linaonekana wazi linawagomea halisukumiki mbele yenu wenye nyumba, itakuwa vipi mkituletea majirani wakati chai Na vyakula vyetu mmekomba lakini mmeunda kinachowatoa jasho...
  12. Eng. Y. Bihagaze

    Tunachokifanya CCM Kwa kweli siyo.

    Kuna wenzetu watanzania Kama sisi, wenye Uwezo wa kuketi Nyuma ya TV zao kwa furaha wakishangilia mtanange Kati ya Polisi waliomiminwa Nchi nzima wakisheheni siraha nzitonzito kudhibiti maandamano ya Amani ya watanzania wengine. Wenzetu Hawa wanaojivunia serikali "Yao", "CHAMA chao', "Jeshi...
  13. Eng. Y. Bihagaze

    Tanzania ipo kwenye kiu isiyo julikana

    Nikitupia jicho Nchi yako hii ya TZ, ni kama iko kwenye kiu isiyo julikana, watu wake wana njaa wasiyojua cha kuwashibisha ni kitu gani, kila Mtanzania anatamani kitu... kitu flani lakini hakijui hasa ni kitu gani, kila mtu ana shauku ya mageuzi, ila sina hakika kama kuna anayejua mageuzi ya...
  14. Eng. Y. Bihagaze

    Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    Ndugu zetu Kwanza tutoe pole Kwa watu wote mliofikwa na maafa mbalimbali pamoja na pole kwa kiongozi na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe kwa kufiwa na Mama Yake mzazi. Ni wiki sasa pamekuwa na gumzo hapa jijini juu ya tuhuma Za Ubakaji zinazomkabili mume wa mwimbaji mashuhuri Flora Mbasha. Na Kwa...
  15. Eng. Y. Bihagaze

    Mwenyezi Mungu naomba Uibariki sana UKAWA..!

    Wiki hili nilifanya matembezi ya dharula Zanzibar pale Unguja. hali niliyo ikuta nilimshukuru sana Mwenyezi Mungu. Kwa Muzangumzo na makundi ya wenyeji wangu hali ya Upepo wa kisiaza Zanzibar ambayo muda mrefu umevumisha siasa na ubaguzi hasa ubaguzi mbaya kabisa wa Udini uliohatarisha ustaarabu...
  16. Eng. Y. Bihagaze

    Muungano unajadiliwa kipumbavu kabisa huko Zanzibar

    Hii Ni Aibu, upumbavu Na wendawazimu usiotukukika Daima huko Dodoma. Sijui wajumbe wamelewa mvinyo wa Namna gani . Watu mnajadili Muungano kipumbavu at real sence not!!!muungano Ni kitu, kitu hasa, Muungano in uhai wa roho Zetu, mjadala wa KIPUMBAVU utasababisha nafsi Za watu kupotea Ivi Ivi and...
  17. Eng. Y. Bihagaze

    Kama BUNGE Likikiuka na Kuvunja utawala wa Kidemokrasia... Then..!

    Wanakwetu... Ngumu sana kukataa mawazo unayowaza lakini usiogope mawazo yangu hata wewe una uhuru wa kuwaza, taifa hili bado tunajilazimisha kuamini-amini kwamba ni letu sote ingawa wenyenalo wanatucheka, bado tunajikakamua ivoivo (na tutaendelea kujikakamua) kuamini kwamba keki ya Taifa ni...
  18. Eng. Y. Bihagaze

    Mwakilishi wa Kundi la wanavyuo kaongea point

    Jioni hii wakati nasikiliza Bunge hili tata la Katiba kuna bidada mmoja amesema kitu makini sana, amesema Yeye Ni mwakilishi wa Kundi la wanavyuo, alichosema nadhani amefunga mjadala wa Kura ya SIRI AMA UWAZI.. Kama Bunge Lina watu wenye vichwa sio mazezeta nadhani wathamini Hoja ya bidada...
  19. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania WenZangu TUSIKURUPUKIE KATIBA MPYA..

    Moderators tafadhali msiunganishe sred Hii.. Tokea dalili Za awali Za kufanyia marekebisho katiba Yetu Hatimae Azimio la Kuunda katiba mpya tumeongelea sana sana suala hili Na kadiri siku zinavyoendelea tunazidi kuona mpasuko zaidi Na zaidi. Viongozi wawili yaani Mwenyekiti wa TUME ya...
  20. Eng. Y. Bihagaze

    Rai yangu Kwa Mwenyekiti KIFICHO:..Kuahirisha BUNGE:- DHAMBI MBAYA sana..

    Mwenyekiti Tokea umeanza KaZi yako ya kuliongoza Bunge hili la KATIBA Binafsi nimeshuhudia Hekima yako kubwa sana unaposhika usukani huu. Na hakika Kwa Kweli umetukumbusha Enzi Za Spika Adam Sapi Mkwawa. Kingine Bunge Lako hili pamoja Na Kamati yako ya Muda ya kuzishabia kanuni Za Bunge...
Back
Top Bottom