Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Ifike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya.
Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa zinaingia kwenye mafuko ya wachache badii hii watanzania wenzetu wanaiponda wanasema raisi wetu anakurupuka
Hakurupuki hapo tu kabaini wafanyakazi hewa zaid ya elfu Kumi nchini ambao mabilioni ya fedha Zetu zilitokomea hewani wenzetu hawa wanasema anakurupuka banaaa..
Mafuta yaliingia nchini freely, wafanya biashara walilipa kodi kama walivyotaka, anapakua Lita laki moja anasema kapakua Lita elfu mbili Na nchi inakwenda, kadhibiti mwanya huo ..watanzania wenzetu wanasema anakurupuka bana..
Anatumbua wafanyakazi wasio wajibika kwenye kisma za Madaraka yao ..watanzania wenzetu wanapwayuka ati anapenda sifaa..
Rais anasema wanafunzi zaidi ya elfu Saba waondolewe Chuo kikuu, Kwa sababu heshima ya Chuo kikuu ibakie kutoa shahada Na vyuo vyenye hadhi ya kutoa diploma wanayoihitaji wanafunzi hao Na walimu wabobezi Wa fani zao wapo huko vyuoni sasa Na nafasi huko vyuoni Zipo sasa Kwa nini wanafunzi hao wang'anga'anizwe kusome Chuo kikuu Na walimu walipwe extra Pesa ili wasake materia Na kuwafundisha wanafunzi hao??, Rais Kusema wanafunzi waondolewe Na udahili ufanywe Kwa wenyesifa ya diploma Na wapelekwe kwenye vyuo husika, watu wanapinga.. Wanabishia.. Wanachobishia Na kupinga hakijulikani..
Niwambieni watanzania wenzangu huko ndio kulogwa kwenyewe. MTU ukishalogwa huwezi kuona mazuri hata iweje. Watu wengine wananachefua zaidi .. Wanasema ati Rais hajui siasa.. Anajifunzia siasa ikulu.. Aaah sasa wewe yaani Ile Kuwa Na wafanyakazi hewa kwako ndio siasa, wizi, ufisadi, ubadhirifu huo kwako ndio siasa.. Basi kama Tafsiri ya siasa ndio hiyo ..siasa ni kitu mbaya sana basi..
Watanzania wenzangu mnaojitambua ni SAA ya kuwaondolea uvivu wajinga wachache wasiopenda nchi yetu isonge Mbele Kwa maslahi ya matumbo yao. CCM imetufikisha pabaya, CCM imechanganya madaraka ya SERIKALI Na Yale ya Kichama, MABWENYENYE ndani ya Chama wamejipa uungu watu Na kushika hatamu za serikali.. Rais anachofanya sasa ni kutofautisha wazi kuwatumikia wananchi Na mambo ya Kichama. Tunajisahau sana.. Huyu ni Rais Wa Tanzania ingawa ni mwanachama Wa CCM. Naamini watu wabaya sana wengi wamo CCM ila pia kuna masazo ya watu wengi Wazuri CCM humo humo. Mfano nzuri ni Rais huyu. Kuna watu ndani ya Chama ambao mbali Na Uonzo uliomo chamani wao wamejitenga nao ila kuna wengine wanaamini Chama chote Kimeoza. Upinzani kumuunga mkono Raisi Kwa Mazuri afanyayo sio Dhambi..sio kosa.. Kuwa mpinzani sio Kuwa shetani Wa kupinga kila kitu..
Wananchi wanafurahia uwajibikaji Wa watumishi Wa serikali Kwa sasa, upatikanaji Wa HUDUMA za kijamii ambazo hapo awali ilikuwa ndoto, elimu za watoto wetu, heshima ya mtanzania inayoanza kurejea.. Kisha MTU aliyelogwa Wa Chama chochote anabeza Bidii hizi.. TUTAKUKANYAGA TUU..Watanzania Hatuhitaji CCM, wala CHADEMA, Wala CUF wala Chama chochote .. Tunahitaji nafuu ya maisha Na maendeleo kutoka Kwa MTU yeyote Wa Chama chochote mwenye nia njema Na Sisi ..
Kwa sasa Nchi kwanza Vyama baadae sana huko ikikaribia Uchaguzi..sio Leo