Nchi huongozwa na akili za Rais aliyeko madarakani

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Tunaweza kuongea mengi

Tukaichambua katiba na kuiremba tutakavyo,tukaongelea mihimili mitatu au minne hata kumi ya serikali na utendaji wake.
tukaongelea utawala wa sheria asubuhi mpaka jioni

Lakini Ukweli unabakia pale pale, nchi huongozwa na AKILI za Rais aliyeko madarakani.Rais ndio mastermind ya Utawala, ndio brain ya nchi.

Maendeleo au mafanikio ya Taifa lolote kiuchumi, kisiasa na sekta nyinginezo ndio determination ya uwezo wa akili za rais wa nchi HUSIKA.

Asanteni
.
 
Na mimi naongezea sijui kama kuna uhusiano lkn potelea mbali, Raisi wa nchi hufanana kiakili, kitabia na kimatendo watu anaowangoza!
 
Ni sahihi .........kuna mjerumani.....nilimwambia sitoshiriki uchaguzi maana hata nikishiriki wataiba kura ........akanijibu maana yake umeamua kuwaachia hatma ya maisha yako na vizazi vyako ...................:confused2: ............hawa viongozi wanapigiwa kura ......wanashinda ......hata mimi nisiyepiga kura ninakuwa nimeshiriki kumuweka madarakani indirectly ...........
 
ntake radhi!!!
inamaana mimi nitaelezea tezi dume mbele za watu bila hata chembe ya aibu!!!??? Haiwezekani, Haikubaliki.....Niombe samahani ndugu

We kijana akili yako itakuwa imejaa mafunza,au utakuwa mtoto wa zinaa usie na mafunzo ya walezi wako. How comes huna adabu kwa Raisi wako na Raisi wa Watanzania mil 45 kiasi hiki, hata kama humpendi sio kumdhalilisha kiasi hiki
 
Kama Watanzania wenyewe ni hawa akina Lizaboni, Msalani, Kibajaji, gsu, Tumbiliz mnategemea watuambie IQ zetu ni kubwa ? Ukweli ndo huo kuwa Viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe....
 
We kijana akili yako itakuwa imejaa mafunza,au utakuwa mtoto wa zinaa usie na mafunzo ya walezi wako. How comes huna adabu kwa Raisi wako na Raisi wa Watanzania mil 45 kiasi hiki, hata kama humpendi sio kumdhalilisha kiasi hiki

Kamdhalilishaje hapo?
 
Rais anajishushia Heshma mwenyewe kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati... Double standard approach anayoitumia kuwashughulikia watendaji na kuwaumiza Wezi halisi haikubaliki hata chembe...

We kijana akili yako itakuwa imejaa mafunza,au utakuwa mtoto wa zinaa usie na mafunzo ya walezi wako. How comes huna adabu kwa Raisi wako na Raisi wa Watanzania mil 45 kiasi hiki, hata kama humpendi sio kumdhalilisha kiasi hiki
 
We kijana akili yako itakuwa imejaa mafunza,au utakuwa mtoto wa zinaa usie na mafunzo ya walezi wako. How comes huna adabu kwa Raisi wako na Raisi wa Watanzania mil 45 kiasi hiki, hata kama humpendi sio kumdhalilisha kiasi hiki

Rais anajidhalilisha mwenyewe
 
We kijana akili yako itakuwa imejaa mafunza,au utakuwa mtoto wa zinaa usie na mafunzo ya walezi wako. How comes huna adabu kwa Raisi wako na Raisi wa Watanzania mil 45 kiasi hiki, hata kama humpendi sio kumdhalilisha kiasi hiki

Kaka ninamtetea kijana,Rais wetu alijidhalilisha mwenyewe kuongea ujinga wa ugonjwa wake mbele ya kadamnasi na watoto wadogo wakimsikiliza.Kuna wengine ili bidi tuzime na TV maana mengine yalikuwa hayafai watoto kusikiliza.

Kuna mambo mengi ya kuwaambia Watanzania lakini si maradhi binafsi ya mtu.Haijalishi Rais au mlalahoi,ugonjwa wa mtu ni mgonjwa mwenyewe na Familia yake.
 
Nimekumbuka kulikuwa na uzi kule celebrity kumhusu mtoto wa waziri mkuu mstaafu aliyeishi Marekani miaka 40 lakini bado anafanya mambo ya kitoto pamoja na kuwa ana degree tatu, yeye akajibu kuwa ndege wafananao huruka pamoja, kwa hiyo akili zetu na zake zinafanana.
Kwa hiyo inawezekana Profesa JK anawakilisha akili za watz mil 40.
 
Tunaweza kuongea mengi

Tukaichambua katiba na kuiremba tutakavyo,tukaongelea mihimili mitatu au minne hata kumi ya serikali na utendaji wake.
tukaongelea utawala wa sheria asubuhi mpaka jioni

Lakini Ukweli unabakia pale pale, nchi huongozwa na AKILI za Rais aliyeko madarakani.Rais ndio mastermind ya Utawala, ndio brain ya nchi.

Maendeleo au mafanikio ya Taifa lolote kiuchumi, kisiasa na sekta nyinginezo ndio determination ya uwezo wa akili za rais wa nchi HUSIKA.

Asanteni
.

Eng. Y.Bihagaze,

Kuna msemo husemao kuwa "People choose leaders they deserve". Mwisho wa kunukuu, Eng. wangu. Tafakari. ...
 
Back
Top Bottom