Search results

  1. Captain22

    Missing someone

    Heshima wana MMU, nimewamisss Sana baadhi ya members hapa: Lara 1, Preta na miss chagga. Aliye karibu na Moshono lounge apitie counter Kuna chupa ya double black.
  2. Captain22

    Kwa utumbuaji majipu huu iko siku tutasikia .....

    Rais JPM amemfukuza uanachama wa jf members wafuatao: ETM, NGONGO, RITZ, MSHANA JR
  3. Captain22

    Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Mradi huu ulizinduliwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, mh Dr. J. M. Kikwete na aliyekuwa waziri wa ujenzi na mgombea urais, mh Dr. J. P. Magufuli. Mradi ni sehema ya ujenzi wa Namanga - Taveta - Voi highway. Kinachonisikitisha ni kuwa mpaka sasa hakuna hata sentimita moja ya lami...
  4. Captain22

    Jumia online

    Nimejaribu kununua simu onlin kupitia mtandao wa Jumia pila hata kuijua vizuri hiyo simu. Simu yenyewe ni Startimes Planet 5. Mwenye ufahamu wa hii simu anijuze maana jamaa wapo serious na kesho kutwa inaletwa ofisini.
  5. Captain22

    Hii decoder ndiyo imekufa au?

    Tangu juzi decoder yangu ya dstv imeniletea mauzauza. Haioneshi chochote kuna kataa kanjano kanawaka. Decoder ni DSD 3 U. Mwenye ufahamu anisaidie maana dstv wameniambia nizime na kuwasha na nimefanya hivyo mara kadhaa. Napitwa na habari
  6. Captain22

    Serikali kuanzisha mfuko wa fidia kwa wafanyakazi wanaoumia kazini.

    Kwa mujibu wa waziri mwenye dhamana ya kazi na ajira, mama G. Kabaka, serikali inaanzisha mfuko kwa pension kwa wafanyakazi watakao umia wakiwa kazini. Mfuko huo utakuwa ukitoa matibabu kwa wafanyakazi wote wa sekta ya umma na sekta binafsi. Serikali itakuwa ikchangia 0.5% ya total wage bill...
  7. Captain22

    Nssf and dangote

    Nime bahatika kuwa mmoja wa waalikwa katika NSSF GALA usiku huu hapa mt. meru hotel arusha. Pamoja na mambo mengine, zimetolewa zawadi kwa best complying employer. Katika secta ya viwanda mshindi ni kiwanda cha saruji cha dangote cha mtwara. Swali langu ni je kiwanda hiki kimesha anza uzalishaji...
  8. Captain22

    Valambhia lawsuit

    Wakuu salamu kwenu na poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Katika somasoma yangu nimekutana na hii kesi ambayo was referred to as the longest civil case in Tanzania. Naomba yeyote mwenye taarifa, historia na hata hukumu ya kesi hiyo anijuze vizuri. Asanteni sana
  9. Captain22

    Huduma kwa wateja tanesco (0768985100) michosho tupu.

    Hiyo namba ukipiga jiandae kuumwa sikio, kuishiwa vocha au hata chaji. Customer care gani mteja amakaa online nusu saa simu haipokelewe? Ni bora hiyo namba isiwepo mnatuchosha wateja bure tuu. Cc: PR Officer tanesco
  10. Captain22

    Vyuo vya Ualimu na Diploma feki

    Wakuu nawasalimu wote na natumaini week end inamalizika vyema. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la "utitiri" wa vyuo binafsi vinavyotoa elimu katika fani mbalimbali ikiwemo fani ya Ualimu. Kumekuwa na vyuo vinavyojitangaza katika media mbalimbali kuwa vinatoa mafunzo ya...
  11. Captain22

    Wizara ya elimu na mkakati wa "big results now"

    Wizara ya elimu chini ya mkakati wa matokeo makubwa sasa " big results now strategy", imetoa mtihani wa kuwapima wanafunzi wa drs la 7. Mbali ya kuwa kuwapima wanafunzi, una lenga pia kupima ufanisi katika mbinu za kufundishia na kujifunzia. Naipongeza wizara kwa kubuni mkakati kama huo. Mbali...
  12. Captain22

    Msaada: computer haiwaki

    Wakuu wataalamu wa computer naombeni usaidizi kwenye hili. Nikiwasha computer nakutana na msg hii: Window could notstart up because the following file is missing or corrupt: WINDOWS\SYSTEM\ vgaoem.fon
  13. Captain22

    Bendera kwenye hoteli

    Wakuu habari za week end? Naomba kuelimishwa kuhusu utaratibu wa kuwa na bendera za mataifa mbalimbali kwenye hoteli zetu. Je ni wa kisheria na huukiuki taratibu za kidiplomasia? Unasaidia nini kwenye biashara ya hoteli husika na je ni nani anatoa idhini ya hoteli kuwa na bendera ya nchi fulani...
  14. Captain22

    Mafuriko makubwa Same Mjini leo

    Wanajamii nipo safari na ninapita Same mjini na nimekuta mafuriko makubwa na mvua bado inaendelea kunyesha. Wanaoendesha njia hii wawe makini maeneo haya maana maji yanapita juu ya barabara.
  15. Captain22

    Ajali wami darajani

    Kumetokea ajali wami darajani. ajali imehusisha lori la mizigo na tanker la mafuta. Ajali imesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria baada ya malori hayo kuziba daraja
  16. Captain22

    Jinsi ya kutumia modem ya d link

    Naomba kupata msaada namna ya kuweka setting za zantel au voda kwenye modem ya d link ambayo inatumia line yeyote
  17. Captain22

    Learn how to tie a tie in two easy steps

    Hi guys I know many of you a having a hell of time when it comes to the tie issue. Here is how to tie a tie in two easy steps. Have fun!!!!!!!
  18. Captain22

    Hongera Star Tv

    Nawapongeza sana star tv kwa kuweka wazi kuwa tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA. TBC wanaendekeza sera za ccm wameandika Uhuru Wa Tanzania bara nchi ambayo haikuwahi kutawaliwa kama koloni katika historia yake
  19. Captain22

    Msaada kutafsiri

    Naomba nisaidiwe kutafsi maneno hafuatayo kwa lugha ya kiingereza: i. ASTASHAHADA. ii.STASHAHADA iii. SHAHADA iv. SHAHADA YA UZAMILI v. SHAHADA YA UZAMIVU Natanguliza shukrani
  20. Captain22

    Balozi Ami Mpungwe

    Heshima kwenu wana JF! Natumaini week end enakwenda vjema. Vipi huyu bwana ex Tanzanian Ambassador to RSA mbona kila investment yenye mikono ya kaburu yeye lazima awe kwenye board?
Back
Top Bottom