Search results

  1. Tairus

    Nachukua funguo yangu

    Forward ya nn
  2. Tairus

    Nachukua funguo yangu

    Unapopewa Lifti alafu unataka kupiga honi tukueleweje..
  3. Tairus

    Nachukua funguo yangu

    Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda.. Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza Nimemwambia anipe funguo nikiingia anaingia na nikitoka anatoka[emoji23]
  4. Tairus

    Namba D michosho sana

    Ukimwambia tuachane utasikia ooh..Nirudishie muda wangu ulioupoteza[emoji23][emoji23] Ntarudi.. Uzi bado unaweza kuongeza sifa zao nyingine.
  5. Tairus

    Kuna siri gani kwenye pete?

    Naombeni msaada. Nilinunua Pete moja kwa mmasai sasa niliivaa siku moja nilianza kuota ndoto za ajabu na siku iliyofata nilikutana na aliyekuwa x wangu kitu ambacho sikitegemea. Je, kuna nguvu gani na nawezaje kujua aina ya Pete ninayotakiwa kuvaa isinisumbue?
  6. Tairus

    Kijana wenu ninaaibika kwa pisi kali, naombeni ushauri

    Malaika ikishuka mbinguni akasema hatuna dhambi..Kamse....
  7. Tairus

    Nimempa ujauzito mke wa mtu

    You are dead mof...
  8. Tairus

    Destiny Manifesto; dhihirisho kuwa tunaishi maisha yenye ukomo

    Una ushahidi gani mkuu..Naona kama mtu yoyote anaweza kuwaza kama wew na akapuuzia
  9. Tairus

    Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Ni single mother..Au sijakusoma mkuu.
  10. Tairus

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Ukweli mchungu niende moja kwa moja kwenye mada..Ndugu zangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitakuja kuona ndoa chungu ila kwa haya yanayoendelea najutaaa. Mwanzoni kabisa nilipokutana na wife alinambia ameshakutana kimapenzi na mwanaume mmoja tuu na kwamba mimi ni wa pili. Sasa niliona kama...
  11. Tairus

    Nimemwambia mke wangu tuachane halafu turudiane

    Inaitwa "Back to basics.." I invented [emoji28][emoji28][emoji28]
  12. Tairus

    Nimemwambia mke wangu tuachane halafu turudiane

    Nitarudi kueleza zaidi kuna watu hawawezi nielewa...Asante sana kiongozi.
  13. Tairus

    Nimemwambia mke wangu tuachane halafu turudiane

    Ipe Jina..[emoji28][emoji28]
  14. Tairus

    Nimemwambia mke wangu tuachane halafu turudiane

    Baada ya ndugu zangu kuonyesha wazi kuwa hawamtaki mke niliyemuoa nilikaa chini na mke wangu tukapanga jambo. 1. Tulikubaliana kujifanya tumegombana sana na kila mmoja ameridhia tuachane. 2. Tukaanza visa ili na ndugu waone sasa kuna mtoto wa shangazi yangu ambaye ni binamu wangu anakaa...
  15. Tairus

    Historia ya kweli ktik maisha yangu kwa ufupi

    Bati aina gani kaka..
  16. Tairus

    Nyota ya binadamu ni nini na ina maana gani kwenye maisha yake?

    Nianze kwa kutanguliza salamu Nina imani kubwa kuwa umesikia kihusu maswala yahusuyo nyota ya binadamu mara nyingi.Swali la msingi apa ni kuwa kuna uhalisia wowote katika hili. Imani yangu ni kuwa hivi vitu havina uhalisia bali ni sisi binadamu tumejijengea mazoea tuu na mwisho wa siku...
  17. Tairus

    Unawezaje kurudiana na X wako?

    Wasalam Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana. Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana. Kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu ni kipi kinakuwa hakikishia kuwa mkirudiana itawezekana. Tuseme bado unampenda na yy ndio alikuacha...
Back
Top Bottom