Unawezaje kurudiana na X wako?

Unawezaje kurudiana na X wako?

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Wasalam

Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana. Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana. Kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu ni kipi kinakuwa hakikishia kuwa mkirudiana itawezekana.

Tuseme bado unampenda na yy ndio alikuacha sasa amerudi, unawezaje kuamini kuwa hatokuacha tena 😅 😅 😅

Wenye uzoefu kwenye hili naombeni msaada.

#POLE DEAR X

Tairus.
 
wengi sana hapa wanasema kitu ambacho sio uhalisi kuwa hawezi rudiana na x, ninachojua ni kwamba mtu amabaye mmeshaunganisha naye mwili hata kama mnasema mmechana kuna uwezekano wa asilimia 70 kurudiana tena hata kama sio rasmi ndio maana wanjaja wanasema mtaraka atongozwi au ukioa au kuolewa na mtu ambaye ana watoto nje tegemea wao watapasha viporo tu hata kama ni kweli wameachana ........
 
Hutaki kurudiana na ex wako ila unsonga mbele na ex wa mwenzako..
Na hapo ukumbuke na we pia ni ex wa mtu

Ubwege zaidi ni kumuacha mpenzi wako kosa kakusaliti au ulimfumania,unaenda kuanza mahusiano mapya na ex wa mwingine ambae nae aliachwa kwa kufumaniwa..atakwambia ukweli?
 
wengi sana hapa wanasema kitu ambacho sio uhalisi kuwa hawezi rudiana na x, ninachojua ni kwamba mtu amabaye mmeshaunganisha naye mwili hata kama mnasema mmechana kuna uwezekano wa asilimia 70 kurudiana tena hata kama sio rasmi ndio maana wanjaja wanasema mtaraka atongozwi au ukioa au kuolewa na mtu ambaye ana watoto nje tegemea wao watapasha viporo tu hata kama ni kweli wameachana ........
Sasa kumgonga ex wako sio tafsiri kwamba mmerudiana.

Kurudia ni kwamba mmeamua upya kuwa wapenzi kama zamani, na sio kugongana kwa kuiba iba
 
Back
Top Bottom