Search results

  1. MuganyiziMushiMwaipopo

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Serikali ihimize ufugaji wa Nguruwe kwa wingi maana figo za Nguruwe ndo mbadala pekee wa figo za binadamu hadi sasa
  2. MuganyiziMushiMwaipopo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji599][emoji635] President Putin: "The only thing we can regret is that we did not start our active actions in Ukraine earlier, believing that we were dealing with decent people."
  3. MuganyiziMushiMwaipopo

    Natafuta kazi, elimu yangu ni Kidato cha Sita

    Umefaulu vizuri shida ni SWALA... Hadi hapo wenye akili tumeishaelewa
  4. MuganyiziMushiMwaipopo

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Ni Mradi Gani umebadilishwa? Kutoka Kata gani na kwenda kata gani? Unafahamu hata Jina la DED huyo? Unamfahamu DC wa Mtwara DC na wa Manispaa? Kiufupi naona unakurupuka kutoa pongezi kwa mambo usiyoyajua.... Dalili ya Uchawa na roho mbaya
  5. MuganyiziMushiMwaipopo

    Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Kula wali waharage ni ishara ya life gumu? Huyu atakuwa hajasoma shule zetu za kula Ugali Maharage mwaka kzima
  6. MuganyiziMushiMwaipopo

    Mikoa 5 ambayo ukiwa na laki haiishi

    Kumbe Songea na Bukoba ni mikoa...
  7. MuganyiziMushiMwaipopo

    Okwa: Baada ya Zoran kuondoka mambo yalibadilika

    Na Ihefu je? Nako alikuwa anabaniwa?
  8. MuganyiziMushiMwaipopo

    Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Nawe upewe Maua yako Mkuu Yecco
  9. MuganyiziMushiMwaipopo

    Eid haiko mbali na sisi tutalipa kisasi

    Karibu sana kwangu kama unakula KITIMOTO
  10. MuganyiziMushiMwaipopo

    Msaada: Naomba mbinu za kujiandaa na written interview utumishi

    Hapo unachohitaji ni SPEED ya Hypersonic! Maana maswali ni machache (05) ila yana vipengele vingi na muda ni mchache sana (45-60 Min). Unachotakiwa ukiona swali hujalielewa vizuri liache nenda linalofuata sababu ya Muda.
  11. MuganyiziMushiMwaipopo

    Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Kukimbilia kuajiriwa Serikalini na kuacha kabisa mishe nilizokuwa nafanya kabla ya kaujiriwa
  12. MuganyiziMushiMwaipopo

    Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Si kweli maana ashasema wazi wanatofauti ya miaka saba. Hadi sasa sioni kunalink yoyote na story ya mwanzo
  13. MuganyiziMushiMwaipopo

    Kama umewahi kutumia hivi vitu, wewe ni legend

    Tumetumia sana Mafuta ya Mgando (Pride) kwenye misosi
  14. MuganyiziMushiMwaipopo

    Mambo mawili niliyojifunza katika Vita ya Kagera

    Huu uzi una mahusiano gani na jukwaa hili?
  15. MuganyiziMushiMwaipopo

    Tukibaki Hai, Tutasimulia

    Leta vitu...
Back
Top Bottom