Search results

  1. dhahabuinang'aa

    Ni lini CHADEMA itakomesha udhalilishaji wa viongozi wake dhidi ya serikali na washirika wake?

    Habari wana JF Huwa naumia sana pindi nionapo kiongozi wa CHADEMA pindi anapokamatwa awe na kosa au iweje haijalishi. Mbunge wa ccm akihitajika police ni tofauti na wa CHADEMA huyu utadhani labda ni jambazi sugu. tuliwahi kusuhudia kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama akalala ndani na kupelekwa...
  2. dhahabuinang'aa

    Kata hizi kabla zikuwa chama gani?

    Wakuu tuwekane sawa kwa wanaoelewa hizi kata hapo awali zilikuwa na madiwa ni wa chama gani tuanze ya 1 mpaka ya 29. ili baadae tujue nani kavuna kwa mwenzake. haya wana JF tuanze. 1.Bangata-Arusha 2.Darajambili-Arusha 3.Msalato-Dodoma 4.Mpwapwa-Mpwapwa 5.Magomeni-Bagamoyo...
  3. dhahabuinang'aa

    Mhimili wa nne bila taarifa jee tanzania tunaipeleka wapi?

    Naona kuna mhimili wa nne umekuja bila hodi Kibaya zaidi ni pale nnaposhuhudia huu mhimili kuwa na nguvu kuliko hii mingine Hapo awali kulikuwa na mihimili mitatu 1,Serikali/Rais 2,Mahakama 3,Bunge Kwa sasa 4,Rushwa/Ufisadi Naamini sitakosea nikisema huu una nguvu kuliko yote kwani wote...
  4. dhahabuinang'aa

    Taasisi ya urais imekosa thamani

    zamani hii taasisi iliheshimika sana,mtu kuomba aiongoze alijiuliza maswali mengi kabla ya kuchukua uamuzi. kwa bahati mbaya siku hizi chama cha mapinduzi kinaongozwa kwa hela na ili uchaguliwe lazima upenyeze kitu kidogo.kibaya zaidi yule anaemtangaza rais ni mtumwa wa ccm <kibaraka> viongozi...
  5. dhahabuinang'aa

    Huu ni zaidi ya ufisadi

    Ngd zangu hii nchi ni yetu sote!je!? huu ujinga tutaufumbia macho mpaka lini? kwani ccm kwa sasa wameamua kuchezea pesa za wavuja majasho kwa huuujinga kwa sasa wameamua kufungua kesi za kupinga matokeo karibu kila konaili eti kupunguza nguvu ya ARUMERU fuatilia kila kesi inaendeshwa...
  6. dhahabuinang'aa

    Kamanda Tundu Lisu na Isango Joseph kuunguruma Jumamosi stand ya zamani Singida

    Wakazi wa manispaa ya Singida na maeneo ya jirani mnakaribishwa kuja kuwasikiliza makamandawatakuwa viwanja vya stand ya zamani Singida mjini.jitokezeni mje kuwasikiliza watu wenye nia ya dhati kuitumikia hii Nchi.kila atakaepata taarifa hii amujulishe na mwenzake. mda ni saa 16:00 saa...
  7. dhahabuinang'aa

    Kikwete kama chama kimemshinda je inchi anaiwezaje?

    Magazeti mengi leo yametoka na habari kuwa mwenyekiti wa taifa ccm anaundiwa mpango wa kumung'oa ili wakinusuru chama chao ina maanisha hawana imani nae tena je na sisi watanzania ambae hatuna imani nae tufanyeje? na kama chama kimemshinda nchi ataiweza? Na kama wana ccm wenzake wamekosa imani...
  8. dhahabuinang'aa

    Watanzania tutachaguliwa viongozi mpaka lini?

    watanzania kila uchaguzi idadi ya wapiga kura inazidi kupungua kibaya zaidi utawasikia wakidai mbunge wetu hatufai mara kairanja hana jipya je kama we huendi kupiga kura unategemea nini? muda wa masaa unajiharibia maisha ya miaka 5! watanzania tubadilike tujiandikishe na tuone umhimu wa kupiga...
Back
Top Bottom