Taasisi ya urais imekosa thamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi ya urais imekosa thamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dhahabuinang'aa, Oct 13, 2012.

 1. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zamani hii taasisi iliheshimika sana,mtu kuomba aiongoze alijiuliza maswali mengi kabla ya kuchukua uamuzi.
  kwa bahati mbaya siku hizi chama cha mapinduzi kinaongozwa kwa hela na ili uchaguliwe lazima upenyeze kitu kidogo.kibaya zaidi yule anaemtangaza rais ni mtumwa wa ccm <kibaraka> viongozi wengi wa ngazi za kuchaguliwa tunachaguliwa na nec na sio chaguo la wananchi.
  rais tulienae kwa sasa yeye aliutamani urais kwa sifa bila kujua kazi za rais na majukumu yake.
  amesababisha mtu anaweza kutaniwa hata na mpenzi wake kuwa anafaa kuwa rais unashangaa kesho anatangaza nia.
  kwani wanaona kumbe ukiwa rais we kutalii tuu kwenye nchi za watu!
  kwa sasa huu umekuwa ni URAHISI na sio urais.
  je! heshima ya hii taasisi tutairudishaje?
  ukizingatia mtu au chama akiwa madarakani na uchafu alioufanya atafanya awezalo ili amweke mtu wa kuja kuficha ule uchafu wake!?
  vijana hii nchi hakuna mwenye hatimiliki ni yetu sote tuamke tuikomboe nchi yetu.
  tumpe mtu mwenye upeo wa kuona mbali na mwenye uchungu na hii nchi.
  tusimpe mtu ili eti akalipe visasi vyake kwa wabaya wake.
  kijana funguka kila uendapo kuwa mwl wa uraia wananchi waijue haki yao.
  jiulize ni lini hapa rais amekuja Tanzania kuitembelea!?
  mwenyezi kiguunanjia wageni wamkute nani?
  watanzani/nec walichagua sura.kiongozi wa nyota mtawala wa anga mtalii.
  tubadilike na tujue umhim wa kura yako 1 ina umhim mkubwa sana na wataona aibu kubadili matokeo kama wamepitwa mbali.
  jiulize kama mwanzo vijana hata wakubwa kama walikurupuka na kutangaza nia kama sasa!?
  thamani ya urais imeshuka.
  kwa sasa ni URAHISI:
  Tanzania nchi tajiri wananchi wake masikini na wenye nchi matajiri.
  maana siku hizi kuna watu bila hata chembe ya aibu wanaroka kuwa eti!!
  hii nchi ina wenyewe!!
  Mtanzania mwenye macho haambiwi tazama!.
   
 2. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,974
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  mkome kuchakachakuwa matokeo ya kura ya chaguzi na mbado!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  tangu alipokufa Nyerere, basi.
  1. Mwinyi---------------Ruksa
  2. Mkapa.................... Ufisadi
  3. JK...........................Playboy, ufisadi

  Heshima itoke wapi!
   
 4. oruguyo

  oruguyo Senior Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 111
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  selikali ya chama cha mafisi imekwenda kulala.istoshe nao ngoja wafe manake raia wema kibao wamechali wao hawajali,wanatanua na magari ya selikali ilikhali walimu na madaktari wanasafa.Mungu mkubwa malipo ni hapahapa,ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
   
 5. m

  matawi JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Umeahau1 kuiba mchana kweupe2. Kuchekacheka3, Kuanguka anguka hasa wakati wa uchaguzi
   
 6. M

  Mpwechekule JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hakuna uraisi ni umalaika, umungu ndio unaotafutwa ukiipata hiyo nafasi hata ukiiba ufungwi, ukiuwa huulizwi, unatumia kodi za wanaichi vibaya na unapigiwa makofi, unagawa maliasili unashangiliwa nani ambae haitaki nafasi hiyo? MIMI TATIZO MTAJI SINA NINGEWANUNUA NAMI NIWE RAISI, kwani haiitajiki sifa pale nchi ya wendawazimu sifa za nini?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Itaheshimiwa vipi tena wakati hawa waliofuata baada ya Mwalimu wote ni mafisadi. Maslahi ya nchi wameweka pembeni na kujali maslahi yao, familia zao na marafiki zao wa karibu. Utawala wa sheria wameuweka pembeni nchi imekuwa kama uwanja wa fisi kila mtu anatenda atakavyo tena bila hata woga!!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Udini Kikwete
   
 9. t

  tenende JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  U-vasco Da Gama wa Kikwete!
   
 10. Heavy equipment

  Heavy equipment JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 939
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Lazima ikose thamani kwa kuwa watanzania tupo milioni 45 lakini anayetuchagulia raisi ni rostam, na 2015 hatukubali bali M4C, nguvu ya mungu ipo mbele yetu tutashinda
   
 11. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  hapo na.3 ndio balaa.mtu ofisini hakai. hivi kama raia tuchukue hatua zipi kumta rais akae ofisini mimi nataka nikawashitaki waislamu walio choma makanisa na kuharibu gari la mchungaji. KWAKWELI TUKOME KABISA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA UZURI WA SHATI ALILO VAA.KWANINI HATULIZANI???
   
 12. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,974
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Asipotembeza bakuli ughaibuni tutaishije jamani! Mbona hamueleweki akikaa ofcn hiyo misada tunayopata kweli tapata?
   
 13. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Ndio maana anaitwa playboy!
   
 14. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #14
  Dec 14, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli Hii ndi Tanzania ni Shamba la Bibi.
   
Loading...