Watanzania tutachaguliwa viongozi mpaka lini?

dhahabuinang'aa

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
134
Points
0

dhahabuinang'aa

Senior Member
Joined Aug 10, 2011
134 0
watanzania kila uchaguzi idadi ya wapiga kura inazidi kupungua
kibaya zaidi utawasikia wakidai mbunge wetu hatufai mara kairanja hana jipya
je kama we huendi kupiga kura unategemea nini?
muda wa masaa unajiharibia maisha ya miaka 5!
watanzania tubadilike tujiandikishe na tuone umhimu wa kupiga kura ni mhimu.
je kama hatupigi nani wa kulaumiwa?
na nini shuluhisho lake?
 

Forum statistics

Threads 1,353,875
Members 518,415
Posts 33,083,625
Top