Search results

  1. Cognitivist

    Majina ya watoto wa kike yaliyopoteza mvuto

    Kwa nini majina haya waliyokuwa wakipewa watoto wa kike baada ya kuzaliwa yamepoteza umaarufu wake miongoni mwa wazazi. Kipindi cha nyuma majina haya yalikuwa maarufu hata yaliweza kutungiwa nyimbo na baadhi ya bendi za kipindi hicho kama vile Less wanyika. Ila kwa sasa majina haya ni kama...
  2. Cognitivist

    Naomba msaada wa mawasiliano ya FedEx Company

    Ndugu wanajamvi naomba mtu yeyote mwenye kuwa na mawasiliano (namba ya simu)ya hii kampuni ya FedEx anisaidie. Nimejaribu kutumia namba walizoweka kwenye web yao naambiwa hazipatikani na namba moja ya mezani inaita tu bila kupokelewa. Msaada plz.
  3. Cognitivist

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Hi, Great Thinkers, Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti...
  4. Cognitivist

    Msiba udom: Mhadhili msaidizi afariki

    Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012. Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu alianguka ghafla alipokuwa akiangalia mpira kati ya Chelsea na Shkahtar Donestky, alikimbizwa hospitalini...
  5. Cognitivist

    Kukopi na kupesti

    Aman iwe juu yenu. Jamani tafadhali tusaidiane kwa jambo hili: Nimekuwa nikimkatalia jamaa yangu hapa kwamba huwezi ukakopi secured document lakini yeye akanikatalia kwa kigezo kwamba katika karne hii ya sayansi na technologia hakuna kinachoshindikana. Kwa hali hiyobasi waungwana naomba...
  6. Cognitivist

    A cognitivist is here again with u!

    Hi every body out there, am a new member of JF, where Great Thinkers make their home. plz accept me.
Back
Top Bottom