Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,036
Likes
1,827
Points
280
Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,036 1,827 280
Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili

Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti alijifungua mtoto wake wa kike ambaye ndie first born almost miaka miwili na nusu iliyopita. Mtoto akaendelea kukua vizuri lakini kwa bahati mbaya mtoto huyu kila alipokuwa akifanyishwa mazoezi ya kukuaa alikuwa akilia sana kuashiria kuwa anapata maumivu makali sana.

Hali ikaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ndipo ikabidi apelekwe hospitali, majibu ya vipimo yakaonyesha mtoto ana tatizo kwenye central nervous system, kwa maana kwamba ana tatizo kwenye uti wa mgongo na upande flan wa brain unaohusika na kukontrol movement

Ushauri wa madaktari ukawa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu tatizo hili isipokuwa ni kwa kumfanyisha mazoezi ili kuactivate hiyo sehemu ya brain iliyo dormant, lakin sasa ni takribani miezi sita but no changes.

Lakini nilipotaka kujua nini chanzo cha tatizo hili, alinieleza kuwa ameambiwa na daktari tatizo hili lilisababishwa na mtoto kuchelewa kulia mara tu baada ya kuzaliwa (hili litalihoji siku nyingine, uhusiano uliopo kati ya kulia kwa mtoto baada ya kuzaliwa na maendeleo yake kiakili)

Ndugu zanguni katika mazingira kama haya, naanza kuona kama vile huenda mtoto huyu ndio akalemaa moja kwa moja na kuwa kilema.

Great thinkers naomba msaada wenu ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu binti pamoja na mwanae, kwa upande wangu nachelea kuamini kuwa hakuna dawa ya tatizo hili apart from mazoezi. GT allow me to present.
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,656
Likes
2,870
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,656 2,870 280
@mupirosin na Mzizi mkavu hebu njooni huku
 
Last edited by a moderator:
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,608
Likes
35
Points
135
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,608 35 135
Mkuu Cognitivist,
- Je una maanisha mtoto hakai?..je, anaweza kutambaa?, kuongea, kutabasamu(kama alifanya hivyo alifanya akiwa na umri gani)?
- ana watoto wengine, kama ndiyo kuna mwenye/wenye tatizo kama la huyu first born?..vipi katika ukoo, upande wa wazazi wa huyu first born(baba zao na mama zao)?

Hivyo basi, ingekuwa vizuri kutusaidia kwa maswali hapo juu yaani kujua ukuaji wake, vipimo alivyofanya na hatua za tiba zilipofikia.

Makuzi ya mtoto huanzia tumboni(tumbo la uzazi), lakini mara baada ya kujifungua/kuzaliwa hupitia makuzi na hatua mbalimbali( Developmental milestones)..yaani katika umri fulani, tunategemea mtoto kufanya jambo fulani n.k.

Vitu mbalimbali huweza kuathiri ukuaji wa mtoto toka akiwa tumboni(madawa, vilevi, magonjwa ya kurithi n.k) vile vile wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa(mf. njia ya uzazi kuwa ndogo, mama kuchoka, kuchelewa kulia kwa mtoto-tutaongelea siku nyingine kama ulivyokwisha kusema, magonjwa mf. malaria n.k).

Kutegemeana na chanzo cha tatizo lililosababisha kuchelewa au kusimama kabisa kwa ukuaji wa mtoto, muda wa kisababishi/visababishi dawa na mazoezi huweza kumsaidia mtoto.
 
Last edited by a moderator:
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili

Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti alijifungua mtoto wake wa kike ambaye ndie first born almost miaka miwili na nusu iliyopita. Mtoto akaendelea kukua vizuri lakini kwa bahati mbaya mtoto huyu kila alipokuwa akifanyishwa mazoezi ya kukuaa alikuwa akilia sana kuashiria kuwa anapata maumivu makali sana.

Hali ikaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ndipo ikabidi apelekwe hospitali, majibu ya vipimo yakaonyesha mtoto ana tatizo kwenye central nervous system, kwa maana kwamba ana tatizo kwenye uti wa mgongo na upande flan wa brain unaohusika na kukontrol movement

Ushauri wa madaktari ukawa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu tatizo hili isipokuwa ni kwa kumfanyisha mazoezi ili kuactivate hiyo sehemu ya brain iliyo dormant, lakin sasa ni takribani miezi sita but no changes.

Lakini nilipotaka kujua nini chanzo cha tatizo hili, alinieleza kuwa ameambiwa na daktari tatizo hili lilisababishwa na mtoto kuchelewa kulia mara tu baada ya kuzaliwa (hili litalihoji siku nyingine, uhusiano uliopo kati ya kulia kwa mtoto baada ya kuzaliwa na maendeleo yake kiakili)

Ndugu zanguni katika mazingira kama haya, naanza kuona kama vile huenda mtoto huyu ndio akalemaa moja kwa moja na kuwa kilema.

Great thinkers naomba msaada wenu ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu binti pamoja na mwanae, kwa upande wangu nachelea kuamini kuwa hakuna dawa ya tatizo hili apart from mazoezi. GT allow me to present.
Pole sn kwa wazazi wa mtoto huyo.Kwa uelewa wangu mdogo mtoto mara baada ya kuzaliwa anatakiwa alie.Huku kulia kunatokana na baridi anayoikuta huku nje ukilinganisha na ndani alikokuwa.Kulia huku kuna faida yake kibailojia.Kuna presha ambayo utengenezwa na tundu kwenye ukuta unaotenganisha upande wa kulia na kushoto hufunga na mtoto anaanza kujitegemea mzunguko wk wa damu na upumuaji.Kupumua hapa ni tendo la muhimu sn kwani ubongo huishi kwa kutumia oksijeni.Oksijeni husambazwa na damu baada ya lile tundu kuziba.Ubongo ukikosa oksijeni zaidi ya dakika tano(hapa yaani mtoto hajalia)basi sehemu husika ya ubongo itakufa!
kumbuka ubongo ndo makao makuu ya mfumo wa fahamu.Kwenye ubongo kuna vituo kwa ajili ya kusimamia sehemu mbalimbali za mwili.Sasa km kitakufa kituo kinachosimamia miguu badsi mtoto hatotembe.Km ni kituo cha ufahamu mtoto atakuwa na mtindio wa ubongo(celebral pulse)najua wengi mnafahamu watoto wenye hili tatizo hili.Kuchelewa kulia kunaweza sababishwa na mtoto kuchelewa kutoka aidha kutokana na mama kuchoka au njia kubana.Pia kuna matatizo kama mtoto kunyongwa na kondo au kutoka na miguu badala ya kichwa.Mtoto asiyelia manake hufariki!Sasa sijui huyo mtoto alikumbwa na lipi.Ubongo ukifa akuna dawa tena...utakuwa ulemavu wa kudumu kwa mtoto(permanent residue disability)mazoezi husaidia mtoto kulimudu tatizo na kujua jinsi ya kuishi nalo.Baada ya kuzaliwa mtoto hupewa maksi(Epigarscore)... Sehemu kubwa ya maksi au point hizi ni kulia tena kwa sauti!Wataalam wanasema masi hizi zinauhusiano kabisa na uwezo wa kiakili mtoto atakapokuwa mtu mzima.Nadhani zingekuwa zinaandikwa kwenye cheti...ukiwa mtu mzima ujijue kwamba ww kwa nn ni kilaza darasani...lol!natania tu!
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,608
Likes
35
Points
135
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,608 35 135
green_marwa, Naomba nisahihishe haya
Celebral pulse- Cerebral palsy.
Epigiscore- Apgar score

Kulia hakutokani na "baridi anayoikuta huku nje"..mtoto bado huhifadhiwa/hutunzwa katika sehemu ya kuhifadhi joto sana..bali kutokana na kuvuta hewa kwa mara ya kwanza, ikiashiria uwezo wa kujimudu(kwa kupumua atleast) mara baada ya kuzaliwa.
 
Nashukuru sn mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,036
Likes
1,827
Points
280
Cognitivist

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,036 1,827 280
Wakuu kwa kujubu maswali ya mchango wenu ni kuwa mpaka sasa mtoto huyu hakai, hasimami wala hatembei, shingo yake pia ni legevu, haijakaza.

Lakini pia binti huyu, hana mtoto mwingine, huyu ndiye mtoto pekee aliyejaliwa na mwenyezi Mungu mpaka sasa.

Katika ukoo wa mama na baba tatizo hili halijawahi kuwepo. Binafsi sijawahi kumwona mtoto huyu ila mama ake anamtaja kuwa ni mchangamfu na anacheza vizuri lakini katika hali ya kuwa amelala.
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,608
Likes
35
Points
135
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,608 35 135
Cognitivist, mambo mengi yanaweza kusababisha hali kamahii ikiwepo matatizo katika vichochezi, lakini nadhani sababu hasa ni Mtindio wa ubongo(Cerebral palsy)..hali hii hutokea kwa sababu mbalimbali(kama tulivyokwisha kusema hapo mwanzo), na si rahisi kutibika hasa baada ya muda mrefu kupita hasa katika mtoto huyu(mf. shingo kukaza ilipaswa iwe angalau miezi minne, kukaa miezi 6, kutambaa miezi 8, n.k)..hivyo basi mazoezi ni njia bora ya kumsaidia, pia

- Ushaurikwa mama(ingawa anaonekana mdogo kiumri) ni muhimu(kutambua huo ugonjwa/tatizo ni la kudumu) hivyo kumjali mgonjwa(kumlisha, kumvisha, kumsafisha ni muhimu)..social support pia( inawezekana kwahali hiyo akakosa marafiki, ndugu kuwa mbali kijamii n.k

-Kuna kliniki mbalimbali zinazohusu watoto wenye shida hii(kutegemeana na mikoa), aweza kupata ushauri toka kwa wazazi wenye watoto kama hawa(hii itamtia moyo katika malezi ya mtoto).

-Kumpeleka hospitali mara tatizo lolote litokeapo, hasa madhara(complications) ya tatizo hili mf. Homa ya mapafu(Pneumonia), degedege n.k IWAPO vitajitokeza.

-Pia kuhusu mimba zijazo, tatizo hili linaweza kuepukwa(assuming height ya mama ni ya kutosha), kwenda kliniki na kupata ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,601
Likes
44
Points
145
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,601 44 145
Hebu acha kudanganya watu nyinyi ndo mnaojifanya Mdr na kudanganya watanzania.
Mleta mada naomba ujibu maswali uliyoulizwa hapo juu pamoja na haya yafuatayo afu tukujue nini shida kwa mwanao na nini kifanyike.
1. Ulimzaa kwa njia gani operation au kawaida.
2. Mtoto baada ya kuzaliwa alilia baada ya muda gani.
3. Uchungu wa kukazana kabisa ulichukua muda gani.
Pia jibu maswali ya hapo juu ya makuzi ya mtoto huyo mpaka sasa.

Pole sn kwa wazazi wa mtoto huyo.Kwa uelewa wangu mdogo mtoto mara baada ya kuzaliwa anatakiwa alie.Huku kulia kunatokana na baridi anayoikuta huku nje ukilinganisha na ndani alikokuwa.Kulia huku kuna faida yake kibailojia.Kuna presha ambayo utengenezwa na tundu kwenye ukuta unaotenganisha upande wa kulia na kushoto hufunga na mtoto anaanza kujitegemea mzunguko wk wa damu na upumuaji.Kupumua hapa ni tendo la muhimu sn kwani ubongo huishi kwa kutumia oksijeni.Oksijeni husambazwa na damu baada ya lile tundu kuziba.Ubongo ukikosa oksijeni zaidi ya dakika tano(hapa yaani mtoto hajalia)basi sehemu husika ya ubongo itakufa!
kumbuka ubongo ndo makao makuu ya mfumo wa fahamu.Kwenye ubongo kuna vituo kwa ajili ya kusimamia sehemu mbalimbali za mwili.Sasa km kitakufa kituo kinachosimamia miguu badsi mtoto hatotembe.Km ni kituo cha ufahamu mtoto atakuwa na mtindio wa ubongo(celebral pulse)najua wengi mnafahamu watoto wenye hili tatizo hili.Kuchelewa kulia kunaweza sababishwa na mtoto kuchelewa kutoka aidha kutokana na mama kuchoka au njia kubana.Pia kuna matatizo kama mtoto kunyongwa na kondo au kutoka na miguu badala ya kichwa.Mtoto asiyelia manake hufariki!Sasa sijui huyo mtoto alikumbwa na lipi.Ubongo ukifa akuna dawa tena...utakuwa ulemavu wa kudumu kwa mtoto(permanent residue disability)mazoezi husaidia mtoto kulimudu tatizo na kujua jinsi ya kuishi nalo.Baada ya kuzaliwa mtoto hupewa maksi(Epigarscore)... Sehemu kubwa ya maksi au point hizi ni kulia tena kwa sauti!Wataalam wanasema masi hizi zinauhusiano kabisa na uwezo wa kiakili mtoto atakapokuwa mtu mzima.Nadhani zingekuwa zinaandikwa kwenye cheti...ukiwa mtu mzima ujijue kwamba ww kwa nn ni kilaza darasani...lol!natania tu!
 
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Hebu acha kudanganya watu nyinyi ndo mnaojifanya Mdr na kudanganya watanzania.
Mleta mada naomba ujibu maswali uliyoulizwa hapo juu pamoja na haya yafuatayo afu tukujue nini shida kwa mwanao na nini kifanyike.
1. Ulimzaa kwa njia gani operation au kawaida.
2. Mtoto baada ya kuzaliwa alilia baada ya muda gani.
3. Uchungu wa kukazana kabisa ulichukua muda gani.
Pia jibu maswali ya hapo juu ya makuzi ya mtoto huyo mpaka sasa.
Mkuu mbona umerudia nlichoandika mimi?umesoma vizuri kweli?hatuko hapa kutibu ila kutoa mwangaza kuhusu tatizo.huyu jamaa yy si mwenye mtoto na maswali ya ndani km hayo si rahisi kujibu kwa haraka.Hata mhusika mwenyewe labda mganga au muuguzi alimuhudumia.Ukiulizwa swali jaribu kuingia kwa undani na kufind all possibilities ili mhusika atengeneze swali km hajaelewa na si ww kumuuliza maswali!
Kwenye fani ya afya hakuna kujua au kujua zaidi kila siku ni kujifunza.Ndo mana huoni hata siku moja matangazo ya hospitali wala dawa au madaktari kubishana.Jamaa amenikosoa hapo juu nikamshukuru sana.Doctors practice mdecine...
nazungumzia kashfa uliotoa hapo juu.MaDk wanadhurumiwa lkn hata siku moja uwezi mwona anabishana...wako kimya...
Mkuu
 
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,601
Likes
44
Points
145
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,601 44 145
Mkuu mbona umerudia nlichoandika mimi?umesoma vizuri kweli?hatuko hapa kutibu ila kutoa mwangaza kuhusu tatizo.huyu jamaa yy si mwenye mtoto na maswali ya ndani km hayo si rahisi kujibu kwa haraka.Hata mhusika mwenyewe labda mganga au muuguzi alimuhudumia.Ukiulizwa swali jaribu kuingia kwa undani na kufind all possibilities ili mhusika atengeneze swali km hajaelewa na si ww kumuuliza maswali!
Kwenye fani ya afya hakuna kujua au kujua zaidi kila siku ni kujifunza.Ndo mana huoni hata siku moja matangazo ya hospitali wala dawa au madaktari kubishana.Jamaa amenikosoa hapo juu nikamshukuru sana.Doctors practice mdecine...
nazungumzia kashfa uliotoa hapo juu.MaDk wanadhurumiwa lkn hata siku moja uwezi mwona anabishana...wako kimya...
Mkuu
nimerudia vizuri post zote sijaona swali nililouliza hapo kama limeulizwa na sijaona kama umeuliza swali. Maswali niliyosema ajibu ni hippocrist hapo juu, kamwe siwezi kufanana idea na wewe mgonjwa wa kienyeji.
Pia kwa taarifa yako hapa tunatibu wagonjwa wengi tu, hivyo acha watu wajieleze na wengine wajifunze na pia wale wanaoona aibu huwa nawambia wanipm.
Naomba mtoa mada nijibu maswali hayo nitoe majibu hapa.
 
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili

Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti alijifungua mtoto wake wa kike ambaye ndie first born almost miaka miwili na nusu iliyopita. Mtoto akaendelea kukua vizuri lakini kwa bahati mbaya mtoto huyu kila alipokuwa akifanyishwa mazoezi ya kukuaa alikuwa akilia sana kuashiria kuwa anapata maumivu makali sana.

Hali ikaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ndipo ikabidi apelekwe hospitali, majibu ya vipimo yakaonyesha mtoto ana tatizo kwenye central nervous system, kwa maana kwamba ana tatizo kwenye uti wa mgongo na upande flan wa brain unaohusika na kukontrol movement

Ushauri wa madaktari ukawa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu tatizo hili isipokuwa ni kwa kumfanyisha mazoezi ili kuactivate hiyo sehemu ya brain iliyo dormant, lakin sasa ni takribani miezi sita but no changes.

Lakini nilipotaka kujua nini chanzo cha tatizo hili, alinieleza kuwa ameambiwa na daktari tatizo hili lilisababishwa na mtoto kuchelewa kulia mara tu baada ya kuzaliwa (hili litalihoji siku nyingine, uhusiano uliopo kati ya kulia kwa mtoto baada ya kuzaliwa na maendeleo yake kiakili)

Ndugu zanguni katika mazingira kama haya, naanza kuona kama vile huenda mtoto huyu ndio akalemaa moja kwa moja na kuwa kilema.

Great thinkers naomba msaada wenu ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu binti pamoja na mwanae, kwa upande wangu nachelea kuamini kuwa hakuna dawa ya tatizo hili apart from mazoezi. GT allow me to present.
Kwa maelezo zaidi naomba usome kuhusu SPASTIC CELEBRAL PALSY
www.stlouischildrens.org/our-services/center-cerebral-palsy-spasticity/about-cerebral-palsy-spasticity
 
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
nimerudia vizuri post zote sijaona swali nililouliza hapo kama limeulizwa na sijaona kama umeuliza swali. Maswali niliyosema ajibu ni hippocrist hapo juu, kamwe siwezi kufanana idea na wewe mgonjwa wa kienyeji.
Pia kwa taarifa yako hapa tunatibu wagonjwa wengi tu, hivyo acha watu wajieleze na wengine wajifunze na pia wale wanaoona aibu huwa nawambia wanipm.
Naomba mtoa mada nijibu maswali hayo nitoe majibu hapa.
Nimekusoma mkuu.Ukitibu mgonjwa hapa ni kinyume na ethics za matibabu na nna shaka na utaalam wako.Kanuni zinasema hivyo...mgonjwa anatibiwa kwny forum?ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanapiga simu tu hospitali kaka.Hapa ni ushauri tu.mfano akipewa dawa ikareact unafanyaje?au akifariki kutakuwa na rekodi yeyote?maisha ya mwanadamu hayachezewi kaka.Hakuna kitu kidogo...huyu jamaa he is just curios to know...kisheria hata dawa huruhusiwi kuandika hapa.
 
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
8,856
Likes
1,333
Points
280
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined Oct 19, 2010
8,856 1,333 280
nimerudia vizuri post zote sijaona swali nililouliza hapo kama limeulizwa na sijaona kama umeuliza swali. Maswali niliyosema ajibu ni hippocrist hapo juu, kamwe siwezi kufanana idea na wewe mgonjwa wa kienyeji.
Pia kwa taarifa yako hapa tunatibu wagonjwa wengi tu, hivyo acha watu wajieleze na wengine wajifunze na pia wale wanaoona aibu huwa nawambia wanipm.
Naomba mtoa mada nijibu maswali hayo nitoe majibu hapa.
Leo nimecheka na kuamini JF ni kisima cha kila kitu Mupirocin ulichotakiwa ni kutuelewesha sote ndio tungejua nani ni Mganga wa Kienyeji na nani ni Mkunga green_marwa simbishii kabisa kwani tangu dahari ya Dunia hii MUNGU alimwambia Hawa atazaa kwa uchungu na wakunga ndio hawahawa wanaosomea kila siku
Huku kwetu kina Mama wajawazito wanajifungulia kijijini na mitaani kwa staili nyingi ambazo huwezi kuwabishia kuwa hawajaelimika
Tatizo linakuja ni nini kinasababisha haya magonjwa ya mtindio wa Ubongo unaosababisha UZEZETA au kuwa na KICHWA KIKUBWA je ni wakati wakuzaliwa?
Mleta Mada ukiambiwa mtoto akikutana na hewa baridi analia ni NO BIG NOOO jibu ni kuwa wakati mama mjamzito anaokuwa na mimba huwa mtoto anatumia njia ya kitovu kupata mahitaji yote sasa anapozaliwa hukata kile kitovu kwa mkasi au wembe msafi na hivyo kutokuwa na mawasiliano tenana Mama
anachofanya Mkunga hata huko Kijijini ni kumnyanyua miguu juu na kichwa chini na kumtikisa au kumiga nyuma ya mgongo ili kufungua mapafu yafanye kazi (kitendo cha Diaphram kufunguka na hewa kuingia na kutoka hapo mtoto hupata Oxygen ambayo husafirisha damu kote na hata huko kichwani)
kwa hiyo haa JF tuwaruhusu wote wachangie hata hawa wagonjwa wa kienyeji tutapata mengi
 
Last edited by a moderator:
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Nimekusoma mkuu.Ukitibu mgonjwa hapa ni kinyume na ethics za matibabu na nna shaka na utaalam wako.Kanuni zinasema hivyo...mgonjwa anatibiwa kwny forum?ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanapiga simu tu hospitali kaka.Hapa ni ushauri tu.mfano akipewa dawa ikareact unafanyaje?au akifariki kutakuwa na rekodi yeyote?dawa inayotibu leo kesho inaweza kutangazwa ni sumu na ikapigwa marufuku.maisha ya mwanadamu hayachezewi kaka.Hakuna kitu kidogo...huyu jamaa he is just curios to know...kisheria hata dawa huruhusiwi kuandika hapa.Vilevile huna ruhusa ya kumwambia moja kwa moja mtu'wewe unaumwa kitu fulani'mwelezee condition yy ataamua akikuelewa
 
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Leo nimecheka na kuamini JF ni kisima cha kila kitu Mupirocin ulichotakiwa ni kutuelewesha sote ndio tungejua nani ni Mganga wa Kienyeji na nani ni Mkunga green_marwa simbishii kabisa kwani tangu dahari ya Dunia hii MUNGU alimwambia Hawa atazaa kwa uchungu na wakunga ndio hawahawa wanaosomea kila siku
Huku kwetu kina Mama wajawazito wanajifungulia kijijini na mitaani kwa staili nyingi ambazo huwezi kuwabishia kuwa hawajaelimika
Tatizo linakuja ni nini kinasababisha haya magonjwa ya mtindio wa Ubongo unaosababisha UZEZETA au kuwa na KICHWA KIKUBWA je ni wakati wakuzaliwa?
Mleta Mada ukiambiwa mtoto akikutana na hewa baridi analia ni NO BIG NOOO jibu ni kuwa wakati mama mjamzito anaokuwa na mimba huwa mtoto anatumia njia ya kitovu kupata mahitaji yote sasa anapozaliwa hukata kile kitovu kwa mkasi au wembe msafi na hivyo kutokuwa na mawasiliano tenana Mama
anachofanya Mkunga hata huko Kijijini ni kumnyanyua miguu juu na kichwa chini na kumtikisa au kumiga nyuma ya mgongo ili kufungua mapafu yafanye kazi (kitendo cha Diaphram kufunguka na hewa kuingia na kutoka hapo mtoto hupata Oxygen ambayo husafirisha damu kote na hata huko kichwani)
kwa hiyo haa JF tuwaruhusu wote wachangie hata hawa wagonjwa wa kienyeji tutapata mengi
There are all kinds of theories, but no one knows
for 100% certaintly. Popular theories are things
like the trauma of being pushed out, the
sensation of having to inflate their lungs with
air, or the change in temperature from 98.6 to
being thrust into a cold hospital environment.
Babies that are born in warm waterbirths
sometimes don't cry, but are obviously fine and
aware when they're brought up.....Kukariri na kuwa na mawazo mgando(irrational) ni janga la kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Naomba nielezwe zaidi juu ya hii APGAR Score. mfano: wangu aliscore 8 hii tafsiri yake ni nini?
Appearance, Pulse, Grimace, Activity, and
Respiration.

Five factors are used to evaluate the baby's
condition and each factor is scored on a scale of 0 to
2, with 2 being the best score:
1. appearance (skin coloration)
2. pulse (heart rate)
3. grimace response (medically known as "reflex
irritability")
4. activity and muscle tone
5. respiration (breathing rate and effort)
 
Mjanga

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
1,245
Likes
81
Points
145
Mjanga

Mjanga

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2011
1,245 81 145
Aksante sana Green_Marwa. lakini naona ulichofanya ni kunyambulisha vitu hivi!
ningependa bado kujua tafsiri ya score hizi katika hiyo scale ya 0,1,2,3,4,..15.
mfano: mtoto anapo score 4/15 tafsiri yake nini-ana afya, ana mapungufu au vipi?
thanks once more!

Appearance, Pulse, Grimace, Activity, and
Respiration.

Five factors are used to evaluate the baby's
condition and each factor is scored on a scale of 0 to
2, with 2 being the best score:
1. appearance (skin coloration)
2. pulse (heart rate)
3. grimace response (medically known as "reflex
irritability")
4. activity and muscle tone
5. respiration (breathing rate and effort)
 
G

green_marwa

Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
52
Likes
1
Points
0
G

green_marwa

Member
Joined Jan 31, 2012
52 1 0
Aksante sana Green_Marwa. lakini naona ulichofanya ni kunyambulisha vitu hivi!
ningependa bado kujua tafsiri ya score hizi katika hiyo scale ya 0,1,2,3,4,..15.
mfano: mtoto anapo score 4/15 tafsiri yake nini-ana afya, ana mapungufu au vipi?
thanks once more!
Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano Kupumua(kulia):kama amelia kwa kutumia nguvu na anahema vizuri ni pointi 2,akilia kichovu na kuhema kwa mapozi au anagwaya ni 1 na asipofanya lolote ni 0.Kuangalia motorsystem relexis(misuli)unambeba halafu unafanya km unamwangusha hivi...utamwona anashtuka sn...unajaza.mara nyingi hawatoi zote 10 kwa hiyo mtoto mzima kabisa anapata 8.sikumbuki kwa nn
 
Forum statistics

Threads 1,235,862
Members 474,779
Posts 29,238,904