Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,100
Kwa nini majina haya waliyokuwa wakipewa watoto wa kike baada ya kuzaliwa yamepoteza umaarufu wake miongoni mwa wazazi. Kipindi cha nyuma majina haya yalikuwa maarufu hata yaliweza kutungiwa nyimbo na baadhi ya bendi za kipindi hicho kama vile Less wanyika.
Ila kwa sasa majina haya ni kama yanafutika, Je nini kimesababisha yaporomoke katika umaarufu wake?
Unaweza kuongezea mengine na kutoa sababu za majina haya kupoteza mvuto miongoni mwa wazazi.
N.B: Report ya RITA ya kuanzia January 2013 mpaka April 2014 inanyesha majina maarufu wanayopewa watoto kwa sasa kwa upande wa watoto wa kike ni Rahma, Mariam, Fatuma, Glory na Amina.

- Pamela
- Yolanda
- Roza
- Bibiana
- Pili