Nimesikiliza Kipindi cha Power Breakfast Asubuhi ya Leo Clouds Fm, Madereva wa Uber na Bolt Wanalia Kamisheni Kushushwa Toka Kulipwa Tshs 950 kwa Kilometer hadi Tshs 450 kwa Kilometer
.
Mdau Anasema kwa Siku Kama Una-drive Uber au Bolt kwa Upande wa Gari, Mafuta Ukiweka Tshs 35.000 Kama Litres...
Jinsi unavyo elezea upambane uongezee ifike Million 7 au Million 8 ya kupata IST, ni bora uendeleze hayo mapambano hukohuko maana inaonekana ndo kuna hela, huku kwenye Uber na Bolt utapambana sana kuliko huko mkuu, ni ushauri tu
Nikisoma baadhi ya comments kwenye moviebase nazidi kuogopa kuiangalia hiyo movie hakuna comment inayo reccomend kuiangalia hata moja aisee
A Serbian Film
Salaam JF,
Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus"
Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya Kiswahili natamani sana nimjue, hasa yule aliye nukuu maneno kama Yesu mwenyewe.
Kila nikiitazamaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.