Search results

  1. Gien Banks

    Nissan Hardbody J83 Engine QD32

    Kwema Wakuu Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper kdgo hasa kwa wale wanao kata na ku scrap magari) Currently nahitaji cutter out za alternator za...
  2. Gien Banks

    Natafuta Mashine ya Interlocking Bricks (Tofali Za Kufungamana)

    Shallom / A.Salaam Aleykum Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Nimekua interested na teknolojia ya ujenzi wa kitumia interlocking bricks kwani seems ina faida nyingi kuliko tofali za kawaida 1. Huokoa gharama za ujenzi i.e. Cement / Mchanga / Finishing. 2. Sehem yenye kupata material za...
  3. Gien Banks

    Tuna Supply Nondo Za Ujenzi Jijini Dar es Salaam

    Husika na Kichwa Cha Habari Tunauza Nondo za Ujenzi Jijini Dar es Salaam 8 mm, 10 mm, 12 mm, 16 mm , 20 mm, 25 mm, 32 mm Usafiri ni Bure Kuanzia Tonne 1 na Kuendelea 1 tonne - 12 mm (40 feet) - 92 pieces 1 tonne - 16 mm (40 feet) - 54 pieces TUPO TUNAKUFIKIA: Sinza / Goba / Goba Mpakani /...
  4. Gien Banks

    Nimeamua kujishusha na kufungua biashara ya mkaa

    Poleni na mapambano ndugu wana JF Husika na kichwa cha habari Katika pita pita zangu za hapa na pale wakuu nimeona nifanye biashara ya mkaa (ni wazo ila niko finishing stages ni execute idea) Yani ninunue kwa wanaoleta mkaa mjini kwa jumla. Magunia kadhaa niyachane na kuuza reja na jumla...
  5. Gien Banks

    Maoni: Uwekezaji ni mzuri zaidi ya Biashara

    Shallom / Asalam Aleykum Husika na Kichwa Cha Mada Hapo Juu Katika Pirika Pirika na Mbilinge Mbilinge Zangu Za Hapa na Pale, Mkoa Kwa Mkoa, Mtaa Kwa Mtaa kuzisaka nimekutana, kuona na ku experience changamoto nyingi nyingi sana ikiwamo kukosa wasimamizi bora wa biashara, kuibiwa, kudhulumiwa...
  6. Gien Banks

    INAUZWA Milango ya Frame (Mageti Ya Kushusha) Yanauzwa

    SOLD / IMEUZWA
  7. Gien Banks

    Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

    Husika na kichwa cha habari. Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm). Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa...
  8. Gien Banks

    Kwani udalali ni lazima iwe viwanja | nyumba | magari?

    Habarini Wandugu JF To the Point Kumekua na Dhana Kwamba Mtu kuwa dalali au kutaka kujihusisha na udalali ni lazima iwe kwenye viwanja / nyumba na Magari (magari ndio trend ya siku hizi) + ni kazi flani inadharaulika wakati majuu kuna watu millionaires in $ kwa udalali tu kwani hapa kwetu tuna...
  9. Gien Banks

    Biashara Ya Kufufua Magari Mabovu na Kuyauza

    Habari Zenu Wakuu To The Point Nimewaza kufanya biashara ya kununua magari mabovu ambayo aidha yamekua written off na insurance companies, kuboresha then kuyauza au kutumia kwa kuleta more returns (faida zaidi) lengo linakua ni kujipatia gari kwa gharama nafuu sana kuliko ningenunua jipya...
  10. Gien Banks

    Natafuta pressure washer za car wash kama zile za petrol station

    Habari zenu wakuu, Hope ur well Nina fanya biashara ya car wash sinza....nimekua nikipata changamoto sana ya pressure washer hizi za kichina kufa kufa hovyo hasa rubber zake na vifaa vyake vya ndani.... Nikaamua leo nifanye tafiti nikagundua car wash kubwa kwenye ma petrol station wanatumia...
  11. Gien Banks

    Unga wa mbegu ya alizeti kwa ajili ya lishe/ chai

    Wasalaam wakuu, To the topic Over the recent 3 / 4 years nimekua concerned sana na afya yangu (weight loss / lishe bora) kuepukana na maradhi ya kujitakia (lifestyle) kwani afya bora ndio kila kitu Hapo Awali Nilikua na uzito wa 105 Kgs while im supposed to be 75 - 85 average. Im glad...
Back
Top Bottom