Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 309
- 740
Habarini Wandugu JF
To the Point
Kumekua na Dhana Kwamba Mtu kuwa dalali au kutaka kujihusisha na udalali ni lazima iwe kwenye viwanja / nyumba na Magari (magari ndio trend ya siku hizi) + ni kazi flani inadharaulika wakati majuu kuna watu millionaires in $ kwa udalali tu kwani hapa kwetu tuna fail nn ??
Dhumuni la kuleta uzi huu ikifaa ni ku brainstorm idea zingine za udalali mtu anaweza ji position as his / her profession na maisha yakaenda ukicheck swala la ajira limekua mtihani kwa sasa kwenye jamii zetu.
Idea mbili tatu za udalali ambazo mimi binafsi nimewaza
1. Spare za Magari
2. Kudalalia Mafundi
i.e
Fundi Welding (Unachukua kazi unatafuta fundi
Mnapatana bei and u make ur margin)
Fundi Masofa (hivyo hivyo)
Designer Clothing (Mambo ya Suit za Maharusi etc Washonaji wachache sana wengi wana idea tu ila washonaji ni wengine)
Karibuni Wadau Tu Share Maarifa.
My dream ni kuwa a big dalali in Kariakoo big tym.