Search results

  1. Upendo iswa

    Mkuu wa Idara chuo cha Mipango Dodoma acha roho mbaya na ukiritimba

    Mkuu wa idara ya Regional Chuo cha Mipango IRDP acha ukiritimba na roho mbaya... Kila mwaka wanafunzi wanashindwa kugraduate kutokana na kuzuia matokeo yao! Badilika usijione mungu mtu hii ni dunia tu acha kukwamisha wanafunzi kufikia malengo yao. Wahadhiri wenzako wanakushangaa tu hushauriki...
  2. Upendo iswa

    Mwalimu Shule ya Msingi, Flora Mariki auawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa shemeji

    Mwalimu wa shule ya msingi Flora Mariki ameuawa kwa kuchomwa visu na mtoto wa shemeji yake tukio hilo limetokea jijini Dar es salaam Tabata Segerea. Mtoto wa shemeji ni binti wa miaka 21 pia familia wanataka kuficha ushahidi ndugu wa mwanamke wamekatazwa kushiriki msiba. Pia soma:Mtuhumiwa...
  3. Upendo iswa

    Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

    Wakuu kuna jambo linanitatiza. Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa! Kwa upande wangu nimejaribu...
  4. Upendo iswa

    Huwa mnatatua vipi migogoro katika sehemu ya kazi/ajira?

    Habari zenu wakuu... Nilibahatika kupata kazi katika shirika binafsi linalojihusisha na mambo ya kijamii na watoto wa mtaani ( kwa sasa ninayo miezi 6 katika hii kazi). Kazi inanipatia changamoto kwa sababu kuna mfanyakazi mwenzangu (hana professional) kabla sijaajiriwa yeye alikuwa katika...
  5. Upendo iswa

    Utaratibu wa international NGOs katika kuajiri nashindwa kuuelewa.

    Wakuu heri ya mwaka mpya. Tangu mwaka uanze napata mkanganyiko kuhusu maombi ya kazi katika mashirika binafsi kuwa na utaratibu wa kunitumia barua pepe kuwa nimeshachaguliwa kwenye interview, pasipo deadline ya tangazo la kazi kuisha. Pia huwa wanaambatanisha form ya kujaza ( new entry staff...
  6. Upendo iswa

    Ndugu yangu amepata msongo wa mawazo (depression)

    Habar za mchana wakuu, Ndugu yangu ( me) amepata msongo wa mawazo na tumejaribu kumsaidia kisaikolojia, alipata nafuu kwa muda, ila hali imejirudia tena. Mbinu gani nitakazotumia aweze kujirudi katika hali yake ya kawaida. hili tatizo limerudi leo ni siku ya tatu anakuwa mnyonge sana...
  7. Upendo iswa

    Nashindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye usaili

    Nimeitwa kwenye usaili utumishi, sina kazi, ila kama nimekata tamaa vile, kwa sababu nafasi ya kazi ni moja na tumeitwa watu 684! Nipo mkoa
Back
Top Bottom