Mwalimu Shule ya Msingi, Flora Mariki auawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa shemeji

Upendo iswa

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
334
515
Mwalimu wa shule ya msingi Flora Mariki ameuawa kwa kuchomwa visu na mtoto wa shemeji yake tukio hilo limetokea jijini Dar es salaam Tabata Segerea.

Mtoto wa shemeji ni binti wa miaka 21 pia familia wanataka kuficha ushahidi ndugu wa mwanamke wamekatazwa kushiriki msiba.

255755654298_status_96781629e82c41a596e3f7abe519fcfe.jpg
IMG_20210602_081001_468.jpg
255753441344_status_e87640a198ed4dcea3a623b083f06f87.jpg


Pia soma:Mtuhumiwa wa mauaji ya Frola Mariki akamatwa
 
Back
Top Bottom