Mkuu wa Idara chuo cha Mipango Dodoma acha roho mbaya na ukiritimba

Upendo iswa

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
334
515
Mkuu wa idara ya Regional Chuo cha Mipango IRDP acha ukiritimba na roho mbaya... Kila mwaka wanafunzi wanashindwa kugraduate kutokana na kuzuia matokeo yao! Badilika usijione mungu mtu hii ni dunia tu acha kukwamisha wanafunzi kufikia malengo yao. Wahadhiri wenzako wanakushangaa tu hushauriki au unataka kutengeneza mazingira ya rushwa?
 
Idara ipi sasa,FINANCE,REGIONAL AU MAZINGIRA.
Namkumbuka Dr Timoth anakuua huku anasmile kama vile poa poa kumbe sio poa
 
Mkuu wa idara ya Regional Chuo cha Mipango IRDP acha ukiritimba na roho mbaya... Kila mwaka wanafunzi wanashindwa kugraduate kutokana na kuzuia matokeo yao! Badilika usijione mungu mtu hii ni dunia tu acha kukwamisha wanafunzi kufikia malengo yao. Wahadhiri wenzako wanakushangaa tu hushauriki au unataka kutengeneza mazingira ya rushwa?
Tumelipokea tutalifanyia kazi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa hivi nyie ndo mnawalea na wanajiona wajanja.Pambaneni na hali yenu mpaka mkome
 
Mleta mada unakua Kama mwehu sasa..hujataja sababu za kuzuia hayo matokeo, Kama mtu anafeli unataka agraduate ivoivo?????
 
Back
Top Bottom