Search results

  1. A

    Natafuta wimbo wa 'Wanataka Kunimaliza'

    Mwenye wimbo huu Full iwe Audio Au Video Naomba autume umeimbwa na Apostle Ng'ang'a toka Kenya kama sijakosea. Nimejitahidi kutafuta uliokamilika nimekosa.
  2. A

    Vivuko vya Watembea kwa Miguu

    Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu. Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita...
  3. A

    Mwenye nyumba anakusanya pesa za kunyonya majitaka kwa wapangaji lakini anatumia pesa hizo kwa matumizi binafsi

    Nyumba za kupanga, Imetokea Katika nyumba moja hivi hapa Dar es Salaam, Choo kimejaa halafu Mwenye nyumba kachangisha pesa ili gari ya maji taka ije Kunyonya lakini tamaa ikamuingia mwenye nyumba akala ile pesa yote. Hali hii imetokea mara tatu pesa zinaliwa. Siku zikaendelea, choo kinazidi...
  4. A

    Software ya KING'AMUZI aina ya DVB T - T2

    Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox. King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
Back
Top Bottom