Search results

  1. Jason Statham2

    Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mbona sioni namba namba za fedha
  2. Jason Statham2

    Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

    Acha kutoa siri za jeshi. Sisi tulio field tunakuelewa. Wao wamezoea light motivation speakers. Ndani ya humu JF wote ni wajuaji na wako vizuri financially. Niko chimbo nitalima ufuta na karanga mwaka huu nitarudi kama siyo hapa hata Pm tupeane ma ujanja.
  3. Jason Statham2

    Tatizo la mjamzito kupumua kwa shida

    Kitaalam tatizo la kupumua kwa wajawazito huchangiwa na kupanda kwa homoni ya progesterone. Hata hivyo tatizo hutokea kwa muda mfupi kisha mambo yanarudi normal na maisha yanaendelea. Mjina Mrefu witnessj
  4. Jason Statham2

    Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

    Nakutakia kila heri hasa project X ikamilike mwakani witnessj Mungu ni mwema sana kwetu. Amen
  5. Jason Statham2

    Maisha yangu: Haya maisha kuna kutoboa kweli? Najisikia kukata tamaa

    Natamani witnessj asome hii comment yako.
  6. Jason Statham2

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    @witnessj Uko makini sana kwenye huu uzi... yamekukuta?
  7. Jason Statham2

    Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

    Waooo thanks my [emoji173] see you on Xmas night... you know the place and dressing code. The file X and plan b MUST be activated on that night. I don’t really need anything as long I will be with you to make this Christmass beautiful for two of us...
  8. Jason Statham2

    Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Issue no uwanja ambao tutakuwa guru kuingia na paka. Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
  9. Jason Statham2

    Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Unashangaa mti wa mbaazi? Ni noma pia kuna mti was muhogo... Huu tuliutumiaga sana kama first aid protection wakati tunafuata mademu vijiji vya mbali vyenye vigagula night... Enzi hizo Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
  10. Jason Statham2

    Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

    Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuu
  11. Jason Statham2

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    Umenikumbusha JF ya miaka ile ya 90. Hizi no mada constructive sio umbea mbea
  12. Jason Statham2

    Movies za zamani ambazo ni nzuri sana

    Hii movie nimeiangalia more than 100 bado haiishi utamu. Director wake alifanya beyond viewer expectations.
  13. Jason Statham2

    Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Daah umenikumbusha vitabu vizuri vya enzi zile kama Safari za Sindbad na alfu lela ulela (sina hakina na spelling). Unasoma usiku na korobohi...
  14. Jason Statham2

    Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Kwa kawaida mnada hufanyika kila wiki siku ya ijumaa. Vyama vya msingi mbali mbali hueleza kiasi cha mzigo uliopo ghalani kwenye maghala tofauti na maeneo tofauti. Mara nyingi inakuwa kikanda. Mfano mnada utakafanyika Masasi utajumuisha mzigo wrote uliopo kwenye maghala ya Masasi, Nanyumbu...
  15. Jason Statham2

    Mambo yanayoenda kutokea mechi ya watani Simba na Yanga - Kigoma

    Huo utabiri wako umenigelezea. Hivyo ndivyo itakavyokuwa
Back
Top Bottom