Search results

  1. Ballack-13

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Nakubaliana na kanuni yako mkuu hizi kanuni zipo nyingi na nzuri kuna nyingine inaitwa 50% 30% 20% asilimia 50 ya kipato chako iwe kwaajili ya matumizi yote uliyonayo 20% savings(akiba) 30% iwe kwenye investments shida inaanzia kwenye nidhamu ya matumizi ya pesa inahitajika akili ya mwendawazimu...
  2. Ballack-13

    Women day ok mens day lini?

    Men day itakuwa 19 November 2024
  3. Ballack-13

    Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

    Mwaka huu ndio nimegundua tofauti ya rangi ya njano na manjano
  4. Ballack-13

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Wakuu asanteni kwa ufafanuzi tumepata kitu toka kwenu
  5. Ballack-13

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Shukurani mkuu Dr mambo kwa ufanunuzi
  6. Ballack-13

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Wakuu habarini za jioni, Naomba kufahamishwa uelewa kuhufu Bima ya NHIF ukishaitumia mara moja mpka ipite siku saba ndio unaweza kuitumia tena kwa matibabu hii imekaaje
  7. Ballack-13

    Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    kusikia kwa kenge mpka atoke damu masikioni Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  8. Ballack-13

    Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Always its better to choose a safe side pressure haipekuki ipo kila sehem sehem yoyote lakini jambo la muhimu ni usalama kwanza wa upande wako
  9. Ballack-13

    Msaada utofauti wa hizi program mbili za science

    Wakuu habari msaada kwenya tuta kuna mdogo wangu namfanyia application za vyuo hii Bachelor of Science in Education na Bachelor of Science with Education tofauti yake ni ipi
  10. Ballack-13

    Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

    Ukiamua kupanda mahindi yaliyokobolewa shambani kama yataota kapande Chuoni ni sehem yenye vishawishi vingi sna na muda wa kusoma uko limited usikuwa umekomaa akili vya kutosha kuna upande utakuzid nguvu na utajkuta muda wa kusoma hupati unahangaika na mahusiano wenzako wanasoma kusoma Ibada...
  11. Ballack-13

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sawa mkuu shukrani kwa ufafanuzi
  12. Ballack-13

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mkuu Indigo hiyo form ni ya kusubmit kwenye Aptitude test tarehe 08
  13. Ballack-13

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
  14. Ballack-13

    Ni wakati sasa wa Manula kupewa sifa zake

    Mkuu umeisahau mechi ya away zidi ya merreik simba alipata sare ya 0-0
  15. Ballack-13

    Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Tuwasaidie vijana wetu wajitanbue na wawe uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi itawasaidia kukomaa kihisia na kuwa na uwezo wa kutafsiri na kupokea taarifa zinazoumiza pia itatusaidia vijana wetu kuwajenga ktk misingi itakayokuwa inawaongoza vzr wapunguze kulia kulia bila sababu
  16. Ballack-13

    Ukiweza kuishi na watu, Umekubali kuwa mtumwa

    Kupanga ni kuchagua ukitaka kuishi ambayo hujui nn unakifanya ishi bila kujifanyia tathimini kwenye mambo unayoyafanya mara kwa mara tenga muda wa kujifanyia tathimini kujipima kujitafakari wewe mwenyewe utapata majibu mazuri ya swali la hii topic
  17. Ballack-13

    Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Jambo baya kabisa katka haya mambo ni expectation ukiweza kuishi kwa kucontrol expectation pamoja na kufanya vitu bila kutamguliza hisia utakuwa mtu bora sna usiexpect chochote toka kwa mtu yoyote mtu ukimpenda akakukataa unaachana nae angalia mambo mengne love is an automatic process huhitaji...
Back
Top Bottom