Achana nayo hiyo, upo kwenye phase nyingine sasa hivi. Angalia kilichoko mbele.sikumbuki na wala hiyo sehemu ya kucertify vyeti sikuiona
Hahaha tatizo hilo.Duh kama hujui kama yupo upande wako unafanya nini?
wamesemea wapi? Mimi nimeangalia majina tu na fomu...sijaona maelekezo yoyteKuna fomu wameainisha ijazwe, usipoijaza si umeona wameandika nini kinakutokea?
.View attachment FOMU YA TAARIFA MUHIMU ZA MWOMBAJI.pdfwamesemea wapi? Mimi nimeangalia majina tu na fomu...sijaona maelekezo yoyte
Naomba link tafadhalingoja nicreate mkuu
wamesemea wapi? Mimi nimeangalia majina tu na fomu...sijaona maelekezo yoyte
hamna unaenda nayo tareh 8 hioHii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
Best before?Hii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
hamna unaenda nayo tareh 8 hio
ndo walivosema wenywe nlkua namjibu apo juuMkuu Indigo hiyo form ni ya kusubmit kwenye Aptitude test tarehe 08
Vipi umeipata iyo link unipasiena mimi pia naomba link
Ukiipata nipasie na mimiUkiipata link ya group, namimi naiomba chief