Search results

  1. K

    Matabaka ya watumishi

    Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma? Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
  2. K

    Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja

    Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja. Muda unaenda na hakuna kinachoendelea. Wako wanaosema nitoe kitu kidogo ili niungiwe umeme ndani ya wiki 2. Je hicho kitu kidogo nimpe nani? Je nikitoa kitu kidogo kuna uhakika nitaungiwa umeme ndani...
  3. K

    Je itawezekana ?

    Wiki mbili zilizopita waziri mkuu alikutana na bodi mpya ya mishahara na moja kati ya mambo ambayo bodi inayafanyia kazi ni mashirika na taasisi za umma kujipangia mishahara hali iliyopelekea kuwa na tofauti kubwa ya mishahara kati ya mashirika na watumishi wengine wa umma hasa TAMISEMI. Mfano...
  4. K

    Ikulu ni ofisi au nyumba ya Rais?

    Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je ikulu ni nyumba ya raisi au ni ofisi ya raisi au vyote kwa pamoja. Kama ni nyote kwa pamoja, je wanawezaje kutenganisha shughuli za familia na kazi. Je ikitokea raisi ana watoto 20 kuna vyumba vya kuwatosha ? Je, ikitokea raisi ana wake wa ndoa watatu...
  5. K

    Gari inahitajika

    Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu. Bajeti yangu ni milioni 2. Lete mzigo nikutue. Karibuni sana
  6. K

    Mwalimu wa Dar es Salaam

    Muheshimiwa mkuu wa mkoa mimi ni mwalimu wa mkoa wako kuliko kutuletea hizo sofa bora utujengee madarasa. Mwaka huu wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa 80-85 kwa chumba na ni shule ya mjini. Hali ni mbaya. Ahsante.
  7. K

    Maisha halisi ya mtumishi wa umma

    Basic salary = 716000 PAYE = 86000 NHIF= 21500 HESLB loan = 107000 NMB loan = 260000 CWT = 14300 Kinachobaki majanga. TUNASOMA NAMBA
  8. K

    Wadau sasa naingia mwaka wa 6 kazini bila daraja wala cheo kipya

    Moja kwa moja kwenye mada. Wadau sasa naingia mwaka wa 6 kazini bila daraja au cheo kipyaza . Taratibu za utumishi nilitakiwa nipande mwaka 2016 ila uhakiki ukaingilia kati hadi 2017 miaka 2. Uhakiki umeisha sasa nimeenda kwa afisa utumishi kudai daraja jipya majibu ni kuwa hawapandishi kwa...
Back
Top Bottom