Mkuu, specifically..... Hapa naona nikama umemkokotoa mwalimu pekeeBasic salary = 716000
PAYE = 86000
NHIF= 21500
HESLB loan = 107000
NMB loan = 260000
CWT = 14300
Kinachobaki majanga.
TUNASOMA NAMBA
Ingawa hii itawachona hadi kwnye mfupa, lakini najua wapo watakao kubeza na kukuona snich kwa kuwachana ukweli huu mchunguNenda kajiajiri uwe huru,acha lawama kwa kifungo cha kujitakia...
Pamoja na kukunja hiyo 940 elfu, je ulijaribu kuchunguza vitu zenye anamiliki...!!??nilishangaa siku flani nimeona salary slip ya mtumishi flani wa TRA,yani basic salary ni 940,000/=, nikashangaa sana..kazi anayofanya kukimbizana na tax payers haiendani na anacholipwa kabisa..kazi risk sana ile afu malipo kidogo
Lazima wapambane na hali zao sababu hawajitambui ni matahira.
.Mwalimu anashindwa kufelisha wanafunzi wote ili aonekane kuwa ana umhimu kwenye jamii.
mtu mwenye akili zake kamili hawezi kufanya kazi ambayo kwa mwaka mzima anaingiza pesa mara 12 tu then siku nyingine zote 353 anatumia halafu bado anawaza mafanikio,idiots!Pamoja na kukunja hiyo 940 elfu, je ulijaribu kuchunguza vitu zenye anamiliki...!!??
Notedmtu mwenye akili zake kamili hawezi kufanya kazi ambayo kwa mwaka mzima anaingiza pesa mara 12 tu then siku nyingine zote 353 anatumia halafu bado anawaza mafanikio,idiots!
Maisha halisi ya BASHITEBasic salary = 716000
PAYE = 86000
NHIF= 21500
HESLB loan = 107000
NMB loan = 260000
CWT = 14300
Kinachobaki majanga.
TUNASOMA NAMBA
Njoo ubebe boksi kiwanja ukusanye mnyamwezi 2000 kwa mwezi!Basic salary = 716000
PAYE = 86000
NHIF= 21500
HESLB loan = 107000
NMB loan = 260000
CWT = 14300
Kinachobaki majanga.
TUNASOMA NAMBA