Search results

  1. Reuben 92

    Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

    Pole mrembo uko wapi
  2. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    Aaaah mkuu umesema una miad na baamed ama sio wewe
  3. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    Ebhana poa ila kumbuka usinywe pombe na kuendesha chombo cha moto pia usisahau ukimwi bado ni tishio hivyo tumia kinga kumbuka kinga ni bora kuriko tiba
  4. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    LA chaz songea ama sehemu gani mkuu
  5. Reuben 92

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Duh ebhana God must be clazy naielewa sana pumzika kwa amani nigau aka bush men hii movie naielewa sana pili ni Mr ibu naielewa sana
  6. Reuben 92

    Jinsi kiatu brand ya TAIMA kilivyotikisa 2000's

    Nilivaa enzi napata kipaimara at simiyu it was 2016
  7. Reuben 92

    Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

    Wangoni wanatabia mbaya kama vipi bora nikaoe home simiyu ila naitaji nimuoe mwanamke ambaye anajielewa kama huyu
  8. Reuben 92

    Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

    Mie ni 26 naitaji uwe Mke wangu sema niko songea ruvuma mie ni mission town pia ticket master
  9. Reuben 92

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Tatizo niko songea naitamani sana
  10. Reuben 92

    Mbowe: Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi walipiga kura na kuzijaza kwenye maboksi. Hatutashiriki uchaguzi utakaoitishwa na NEC

    Huna akiri ndugu unafurahia nchi yako kukosa demokrasia kweli kati ya zero na wewe umo huna tofauti na bwege Wa dar
  11. Reuben 92

    Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

    Mie malambo salamu zao hapo dutwa
  12. Reuben 92

    Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

    Mwamapalala sio mbari na mjini bnana karibu malambo
  13. Reuben 92

    Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

    Vipi barabara zinapitika nataka nilete gari langu
  14. Reuben 92

    Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

    Uko simiyu mtaa gani
  15. Reuben 92

    Star times waziachia chanel zote za ndani

    Mie nina dish na naziona poa tu
  16. Reuben 92

    Wateja wa visimbuzi vya DSTV, AZAM na ZUKU kulipwa mamilioni ya fedha. TCRA yawataka watume majina yao na miezi waliyolipia

    Hivi hawa tcra wana kichaa mbona star times tulikua tunalipia ina maana watumiaji Wa star times tuliokua tunalipia local channel hatulipwi msituchezee naomba hela zangu
  17. Reuben 92

    Hivi ni kweli Serengeti boys ni under 17?

    Mi ninataka mtetea mwenye mada ni kweli kuna jamaa yangu amezaliwa mwaka 1989 na anachezea azam b lakini cheti cha kuzaliwa anatumia sio chake ni cha mdogo ake wa 94 Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Reuben 92

    Ama kweli nimeamini kikulacho kinguoni mwako...sitakaa nimuamini tena mtu yoyote.

    Tatizo ni wewe mwenyewe kwanini nasema ivyo huyo rafiki ako unapomuagiza fanya umpatie pesa hataweza kuku ibia ila ukiwa bahili lazima uliwe kaka
Back
Top Bottom