Baa kuna Vituko vyake bhana

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,710
8,010
Moja ya vituko nimeviona sana baa ni;

1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao
2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani
3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na smartphone wanachati)
4.wanaokunywa soda na Konyagi
5.Wanaoenda toilet mara kwa mara
6.Baamedi anayejifanya anajua kucheza mziki kuliko wengine
7.Waliokuja baa kwa ajili ya kiangalia mpira (mara nyingi wanakunywa maji)

Na wewe Ongezea.....
 
Oyoo tunasubir saa sita wanapofunga, hapa mmoja ashanipanga ikifika kufunga tunaondoka tunaenda kukesha La Chaz kitakachofuata mi sijui
 
Moja ya vituko nimeviona sana baa ni;

1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao
2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani
3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na smartphone wanachati)
4.wanaokunywa soda na Konyagi
5.Wanaoenda toilet mara kwa mara
6.Baamedi anayejifanya anajua kucheza mziki kuliko wengine
7.Waliokuja baa kwa ajili ya kiangalia mpira (mara nyingi wanakunywa maji)

Na wewe Ongezea.....
Wanaoenda bar kwaajili ya kula mbuzi katoriki tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom