Search results

  1. JOSE MKARA

    Nauza iphone 7plus

    Niko morogogoro Bei ni 400000
  2. JOSE MKARA

    Naomba kupewa ujuzi kuhusu mabaro ya mitumba

    Habari wana jamvi Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu Baro la mashati grade 1: a)bei b)kg c)piece zinakaa ngapi/ yaani idadi Pia ya nchi gani ndo ina soko hapa bongo
  3. JOSE MKARA

    Natamani kuhamia Dodoma

    Habari wanajamvi, Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
  4. JOSE MKARA

    Public Administrator natafuta kazi

    Lejea somo tajwa hapo juu. Nimemapiza shahada yangu Mwaka 2017 Chuo kikuu Mzumbe Natafuta kazi maana sina ajira toka nmemaliza chuo zaidi ya kupalangana ili kuendesha maisha yngu yenye mahitaji kama binadam yeyote. #0789701465 #0764579546
  5. JOSE MKARA

    Naomba kupewa ufahamu kuhusu freelancer

    Habari wadau Naomba kupewa elimu juu ya kazi ya free lancer pamoja na namna ya kupata acces ya kazi hizo
  6. JOSE MKARA

    Biashara ya mpunga Kilombero, Morogoro

    Naomba kujuzwa juu ya biashara ya mpunga katika bonde la Kilombero mkoani Morogoro katika angle zifuatazo 1. Msimu wa biashara hizo 2. Mtaji wa chini kabisa wa biashara hiyo 3. Changamoto zake 4. Faida zake kulingana na muda
  7. JOSE MKARA

    iPhone inakataa kupakua chochote App store

    Kila nikijaribu inaniambia id yangu haijatumika iTunes . Nkienda iTunes inaganda tu. Ila id n valid na iko active. Msaada wataalam
  8. JOSE MKARA

    Biashara ya saloon ya kiume

    Habari, Nina mpango wa kufungua saloon ya kiume, ila ninaomba kufahamishwa au kuongezewa maarifa katika mambo yahusuyo biashara hiyo. Natanguliza shukrani.
  9. JOSE MKARA

    Siri ya Namba 40

    Kuna uvumi kuwa namba arobaini, ina Siri na maana nyingi, mtujuze tusojua.
  10. JOSE MKARA

    TANESCO wanataka ninunue transformer

    Habari, Mimi ni mkazi wa Morogoro vijijini. Biashara yangu ni ya kukoboa zao(silitaji kwa sababu binafsi) ni mwaka wa tatu sasa nafuatilia kuwekewa umeme katika kiwanda hichi kidogo maana natumia diesel lakini gharama nnazopewa ni zaidi ya milioni kumi, ikiwemo na kununua transform. Wataalam...
Back
Top Bottom