Search results

  1. PILSNER

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Hivi Kuna Alie kamatwa kwa sababu ya kula mchana kipind Cha kwaresma..!!? Kusema ukweli na kwa maoni yangu binafsi MUUNGANO Uvunjwe kwa na sijui ni kwanini tuna wang'ang'ania hawa jamaa wakati wao hawatupendi..!?
  2. PILSNER

    You can change your Genetic code

    Ila njia yenye hajaitaja. Au Mimi ndo kidhungu hakipandi
  3. PILSNER

    Je, Unaiamini hadithi ya mnara wa Babeli?

    Natamani nikwambie mambo ya Yale ma pyramids pale misri kua ndo mnara wenyewe Ila kwa sababu najua utabisha ngoja tu kikae kimya
  4. PILSNER

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Mkuu hongera umezaa bonge la genius maybe atakuja kubadilisha hii nchi kwa namna fulan Ila ana nyota Kali sanaa jitahidi kimtafutia Kinga za aina mbalimbali EPUKA MATAPELI..
  5. PILSNER

    Kaniambia akiipata kazi mume wake atapiga deki ndani!

    Najua Kuna watu wanakuja pm Na bila shaka ndo ulichokuwa unalenga....!!?
  6. PILSNER

    Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

    Kubali watoto. 😂😂😂
  7. PILSNER

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Ukweli mchungu Sana huu...... Ona sasa nimeahirisha ku enjoy weekend nafikiria kununua tofali
  8. PILSNER

    Binti wangu hawezi kuolewa na mtu maskini - Elon Musk

    Bila picha ya huyo Binti sitaongea lolote
  9. PILSNER

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Matreni ya umu hayajawai tiki Au ni Mimi tu nachagua vbya ..!?
  10. PILSNER

    Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Demand ya chumvi ni ndogo Mimi binafsi nikinunuachumvi mifuko miwili Kodi ya nyumba inaisha chumvi bado 😂😂😂😂😂 sasa ndo nimegundua KULA CHUMVI NYINGI SIO JAMBO RAHISI
  11. PILSNER

    Video: Ukiona katanuka Vidole vya mguuni usioe

    Waliooa tayari waje kupinga kwa hoja
  12. PILSNER

    Uvumbuzi wa kurunzi iletayo giza

    Naona Mbege zinaleta effect
  13. PILSNER

    Mangwair vs Chid Benz

    Alivokua mangwair zamani ni mara mbili ya marapa wote wa sasa hivi
  14. PILSNER

    Tazara sasa wanaiaibisha nchi

    Ambao hamjawahi panda treni siwashauri kugusa huo upuuzi
Back
Top Bottom