Search results

  1. upcoming tycoon

    Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Unamtetea mwenzako? Hata wew ungekuwa familia moja na mim alafu historia wangeisoma!
  2. upcoming tycoon

    Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Ni maoni mazuri yanapaswa kupongezwa. Swali kwa mtoa mada je? Una uelewa mzuri kuhusu mitaala ya elimu au umetoa maoni yako tu kwa jinsi unavyoona ?
  3. upcoming tycoon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kiongoz umeitwa kwenye oral au tusubil nyingine
  4. upcoming tycoon

    Maswali gani hutoka kwenye written interview ya Tutorial Assistant SUA?

    Kiongozi vp ? Umeitwa kwenye oral au tusubil nyingine?
  5. upcoming tycoon

    Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

    Toa credit bhaasss!!!! Copy , edit, paste from recently mwananchi newspaper
  6. upcoming tycoon

    Hivi bado kuna watu wanatongoza wanawake?

    Wew si ndio uliokuwa unatafuta mchumba humu jf , sasa huo ujasiri wa kutongoza umeupata wap??
  7. upcoming tycoon

    Msaada: Nina tatizo kwenye mbegu zangu za kiume

    Hyo dawa huwezi weka wazi kwa faida ya muulizaswali na watu wengine
  8. upcoming tycoon

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Nimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa...
  9. upcoming tycoon

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Hahahahaha !!!! Kuna watu bado hawajakomboka kifrika ndio maana wengi waliokombika kifrika wanasema wanaabudu mizimu
  10. upcoming tycoon

    Ukweli kuhusu crypto currency mtu hawezi kukuambia

    Wewe ulianza lin kununua hizo coin
  11. upcoming tycoon

    Mgogoro wa Ardhi jijini Dar es salaam

    Wajane na watoto wao walilia eneo lao lenye ukubwa wa hekari 2 ambalo limeuzwa kwa Nahla Dev Ltd pamoja na manji. Wajane hao wamesema eneo lao hilo lililopo eneo la Temeke vetenary sokoni karibu na barabara ya port access limeuzwa kwa watu hao kwa gharama ya fedha za kitanzania bilioni 1.9 na...
  12. upcoming tycoon

    Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Huyu dogo tumemuacha shule naye sikuhizi anaendeleza harakati??
  13. upcoming tycoon

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nimelipia umeme laki tano na elfu 18 nimelipa tayari toka mwezi wa pili na tanesco wameleta nguzo toka tarehe za mwanzo za mwez huu. Tatizo mpaka leo zimepita wik tatu hawajaja kuziweka hizo nguzo ( kufungiwa umeme ) na mim nianze kuzitumia hela nilizolipa .. Naomba uwakumbushe waje kuziweka na...
  14. upcoming tycoon

    Waziri wa Nishati aagiza wakuu wa wilaya kukamata na kuwaweka mahabusu wananchi watakaoshindwa kuunganisha umeme kwenye nyumba zao baada ya miezi sita

    Mtanzania wa hali ya chini anapata wapi laki 3 na 20 ya service charge ya tanesco na hapo bado hajafanya wiring. Ukiangalia mfuko wako usidhani wote wapo kama wew
Back
Top Bottom