Search results

  1. che wa Tz

    Lindi: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Ruangwa, akamatwa kwa kosa la kupandisha bendera ya CHADEMA wakati wa ziara ya Waziri Mkuu

    Kuna wakati unaweza dhihirisha kwa mteule wako ni kwa kiasi gani alikosea kukuchagua wakati una uwezo mdogo sana wa kufikiri. Kuna matendo unaweza fanya ukajua unamfurahisha aliekuteua kumbe ndio unamfanya aonekane kama ni adui wa afya ya jamii inayoheshimu misingi ya kidemokrasia na utawala wa...
  2. che wa Tz

    Kampuni gani inayojihusisha na uagizaji wa bidhaa kutoka India kuleta Tanzania?

    Habari za leo wadau baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya namna ya kusafirishaji malighafi kutoka india kuja hapa nyumbani na kukwama ingawa nimeona bidhaa ninayoihitaji ikiwa inauzwa kwa wingi nchini India kupitia. Naomba kutoka kwenumdau Mwenye ujuzi, uzoefu na uelewa wa kuagiza na kuingiza...
  3. che wa Tz

    NECTA tuondoleeni huu utata

    NECTA je hii taarifa ya hili zoezi kufanywa kwa namna ya kampuni kupewa zabuni ni kweli ama la, kwa maana hii taarifa inapelekea kuwa na kizungumkuti katika utekelezaji wa hili zoezi la kuandaa taarifa za hawa watahiniwa wa FTNA na CSEE katika taratibu zilizozoeleka. Na kwa bahati mbaya hii...
  4. che wa Tz

    Ushauri wa bure kwa Waziri Kairuki

    Siku kadhaa zilizopita, nilijaribu kutoa ushauri wa bure hapa hapa kwa waziri wa nchi, ofisi ya raisi, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora juu ya hili zoezi la uhakiki linaloendelea, na ninamkumbusha tena kama uhakiki huu usipochukuliwa kwa umakini basi madhara kama ya haya ya kifo...
  5. che wa Tz

    Mjadala: Muundo wa risala na hotuba

    Wadau naomba kuwasilisha kama huyu mdau alivyoomba niwasilishe kwenu kwa msaada zaidi "kuna swali langu nataka unitumie jamii forum nipate majibu. Waandishi wanatofautiana katika uandishi wa HOTUBA na RISALA, haswa katika vipengele vya muundo. Upi ni uandishi sahihi wa HOTUBA na RISALA? Mfano...
  6. che wa Tz

    Nahitaji Mashine ya kutengeneza chaki

    agiza kutoka nje ya nchi kama china
  7. che wa Tz

    Mirascreen HDMI dongle

    Ukikipata mkuu utupe mrejesho wake
  8. che wa Tz

    Mirascreen HDMI dongle

    Asante mkuu kwa huu ushauri ngoja niufanyie kazi. Bei ni 66000 kwa hao wishwish
  9. che wa Tz

    Mirascreen HDMI dongle

    kinapatikana www.jumia.com zamani ni kaymu.co.tz, wauzaji wanajiita wishwish
  10. che wa Tz

    Mirascreen HDMI dongle

    Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na walio wahi kukutumia ili watujuze ubora wake na mapungufu yake pia, na kama kina mbadala bora kabisa...
  11. che wa Tz

    Simu nzuri yenye projector ni ipi?

    Zinapatikana wapi kwa dsm na price yake mkuu???
  12. che wa Tz

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Msaada wako utahitajika na huku pia mkuu. masaganya@hotmail.com
  13. che wa Tz

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu nilikuwa nahitaji kununua mashine fulani kutoka alibaba....but naona kama nimekwama kwenye suala la usafirishaji maana kwenye calculation zao za kwenye mtandao inaonekana kama vile inakuwa bei ya mashine ni cheap kuliko ya usafirishaji coz mashine yenyewe ni kama $650 but wakifanya...
  14. che wa Tz

    Wadau wa Usindikaji tukutane hapa

    So hiko kiwanda ambacho we ni wakala wao wanatengeneza mashine pekee za kusindika vyakula au pia na mashine za aina nyingine?
  15. che wa Tz

    Hii ndio tuliambiwa home made Helicopter?

    Hapana sio hii....hii imetengenezwa songwe....ile tuliyoambiwa ni chuo cha ufundi Arusha. Ila wakati mwingine huwa nafurahia sana huu unaoitwa ubunifu wa kiTz, huwa najiuliza sana kama tunaipeleka sayansi hatua mia mbele au tunairudisha hatua 1000 nyuma
  16. che wa Tz

    DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Mashaka yangu ni pale hilo zoezi la kuwakamata litakapoanza, sijui ataenda kuwaweka selo na jela zipi....au nae awafungulie selo maalum za mashoga
  17. che wa Tz

    Best microphone

    Habari za leo wadau......naomba kuwasilisha kwenu na kuomba msaada wa ushauri juu ya microphone nzuri na affordable kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja i mean kama ya radio za internet. Pia na mahali ninapoweza nunua kwa hapa Tz. Nawasilisha
  18. che wa Tz

    Wapi naweza pata micro usb to HDMI cable + Screen enlager ya simu

    Msaada tutani wadau....wapi naweza pata duka linalouza micro usb to hdmi cable pamoja na screen enlarger ya simu kwa dsm. Nawakilisha
Back
Top Bottom