Mjadala: Muundo wa risala na hotuba

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
Wadau naomba kuwasilisha kama huyu mdau alivyoomba niwasilishe kwenu kwa msaada zaidi

"kuna swali langu nataka unitumie jamii forum nipate majibu. Waandishi wanatofautiana katika uandishi wa HOTUBA na RISALA, haswa katika vipengele vya muundo. Upi ni uandishi sahihi wa HOTUBA na RISALA? Mfano kitabu cha kiswahili sekondari kidato cha sita cha Taasisi ya Elimu Tanzania, katika muundo wa uandishi wa RISALA na HOTUBA, umegawanyika katika SEHEMU kuu nne;

1. Kichwa cha risala/ hotuba
2. Utangulizi wa risala/ hotuba
3. Kiini cha risala/ hotuba
4. Hitimisho au mwisho wa risala/ hotuba"


Naomba kufungua mjadala kama mdau alivyoomba
 
Back
Top Bottom