Fahamu Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu. Kwenye Biashara Aina hizi za Embe zimeshika Kasi sana Sokoni.
1. Kent Mango.
Hii ni aina ya Embe Kubwa sana...
Hapa Ndio Sehemu Pekee Ambapo Unapaswa Kupitia Kabla Hujaanza Kilimo Au Uzalishaji. Kwa Wakulima wa mazao pamoja na wafugaji unapaswa kufahamu kile unachotaka kuzalisha kwaajili ya biashara Yako utakiuza wapi?
Jibu ni moja tu. SOKONI.
Ili kupata taswira halisi na uelekeo wa mazao unayozalisha...
Utapata Miche ya Matunda ya Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile Ya Tsh 2500 Tu.
Hii ndio Aina ya Miche Inayopatikana Kwenye Bustani Yetu Iliyopo Hapa SUA Morogoro.
1. Embe Aina 7
2. Parachichi Aina 3
3. Papai Aina 2
4. chungwa
5. Chenza
6. Limao
7. Ndimu
8. pasheni
9. Pera
10. Stafeli
11. Tope tope
12...
Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi.
Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora na Mengi Zaidi Lazima haya Yafanyike.
1. Usafi wa Shamba.
Hakikisha Shamba lako ni safi Muda Wote...
Hii Hapa Siri ya Parachichi Aina ya HASS.
Wengine wamezoea kuita parachichi upele, na hii ni Kutokana na Ganda lake kuwa na vinundu vidogo vidogo.
Parachichi Aina ya HASS Ndio parachichi ya kwanza kwa Ubora Duniani. Hii ni Kutokana na kuwa na sifa Hizi.
1. HASS Inazaa sana.
Mche Wa Hass...
Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu.
Kwenye Biashara Aina hizi za Embe zimeshika Kasi sana Sokoni.
1. Kent Mango.
Hii ni aina ya Embe Kubwa sana, kuanzia gram...
Vitu vitano (5) Vya Kuzingatia Wakati unapoingia kwenye Kilimo cha Matunda.
1. Eneo
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kufahamu vizur jografia ya eneo, Hali ya hewa, kiwango Cha mvua n.k. Hii itakusaidia kufahamu ni wapi upande aina Fulani ya matunda na pia ni wapi usipande. Mfano parachichi inafanya...
Siri Ya Mafanikio kwa Wakulima wa Parachichi Njombe.
Mkoa wa Njombe unasifika kwa Kilimo Cha Miti na Biashara ya Mbao kwa Ujumla. Kwa kipindi Cha hivi karibuni wakulima Mkoani Njombe wameingia rasmi kwenye Kilimo Cha Parachichi Aina Ya HASS ambayo Ina soko kubwa sana ndani na Nje ya Nchi. Kilimo...
Umewahi Kujiuliza Kwanini Unashauriwa Kupanda Miche Ya Matunda Msimu Wa Mvua Za Vuli?
Kwakuwa Tumekuandalia Miche Bora ya matunda Kwa kuzingatia vigezo vyote vya kitaalamu, tuna kila sababu ya kuhakikisha unapata Ushauri na Elimu juu ya Upandaji na utunzaji Hadi Mavuno.
Hivyo Basi Unashauriwa...
Wasiliana nasi Leo. Tupo SUA Morogoro, Tumekuandalia Miche matunda Muda Mfupi Kwaajili ya Shamba lako na hata mazingira ya Nyumbani Pako.
Tunapokea pia Oder za kupandiwa Miche ya matunda kwaajili ya Msimu Wa Mvua za Vuli.
Tupigie 0752799673/0746850361
Je Unahitaji Kuwa Na Bustani Ya Mboga Nyumbani?
Ni rahisi sana, Lima Bustani Kisasa kwa Kutumia mfumo mdogo wa Umwagiliaji kwanjia ya Matone yaani Drip Irrigation Kit. Huu ni mfumo mdogo Ambao unakuwa n matuta 5 yenye urefu wa mita 10 kila moja. Hapa utaweza kuotesha Miche ya Mboga kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.