Search results

  1. Rasputin

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii ilikuwa yetu mkuu, ilipangwa tushinde tu naombea tuzidi tubaku uefa next season
  2. Rasputin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naona Parimatch.tz haifunguki toka jana, kuna mtu ana taarifa yoyote??
  3. Rasputin

    Series (Special thread)

    Wakuu kuna aliyecheki Severance??
  4. Rasputin

    Tigo Fixed Telephony

    Habarini wakuu, Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi insights za hapa na pale. Shukrani.
  5. Rasputin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mambo ya Nasri hayo [emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Rasputin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Treni la leo BetPawa F042A38
  7. Rasputin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu imetoa, nmepata vipigo vingi hv karibuni mpk nimestake kdg.
  8. Rasputin

    Rwanda isimamishwe uwanachama wa EAC kwa kuivamia DRC

    Tuanze na vikwazo then tuwatumie silaha wakongoman
  9. Rasputin

    Kwanini inatumika nguvu kubwa kumnadi na kumsifu Rais Samia?

    Ngoja tuone kama tutapate majibu kabla uzi haujatunguliwa.
  10. Rasputin

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Hahaha wabongo, kusikia mshahara umeongezwa mmataka kuchukua hichohicho kidogo tena!!!
  11. Rasputin

    Kupanda kwa bei ya mafuta ni udhihirisho kuwa nishati ya umeme lazima itumike katika usafirishaji

    Nakubali kwenye matreni ila magari hapana, watu wataliwa na wanyamapori usiku kisa magari yameisha chaji.
  12. Rasputin

    Car4Sale Magari Empire, wauzaji wa Magari

    Oi wanakukataza kupiga picha ndani hayo magari ama vp??[emoji16][emoji16]
  13. Rasputin

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwani shida nini mbona tangu jana tunakatiwa umeme mabibo external kwenye laini hii ya Usangu Treads?? Tumelala giza, saa hiv umerud hata pasi haijapata moto umekatwa tena.
  14. Rasputin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ikiisha ya zamalek nta cash out ifike hata 10k tu
Back
Top Bottom