Search results

  1. MoroGent

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Wanavyo ving'muz vya Azam uku?
  2. MoroGent

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Nipo Mji wa Eldoret Kenya, nawezaje kuangalia live mechi ya Derby wakuu. Nimeenda Bar ni.eulizia kama wataonesha wanajibu hawana uhakika. NI channel gan zinaoneshaga huu mpira wa bongo huku Kenya. Nawasilisha
  3. MoroGent

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Unaweza kusubmit bila hizo letter inaruhusiwa isipokuwa wanasema ifikapo January km sio December uwe nayo. Lingine jaribu kuwatumia email kuwa unaomba scholarship na conditional ni one of your important attachment watakupa au kukupa reply nzuri tu. Mm walinambia ni wiki 6, niliwatumia...
  4. MoroGent

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Sio kila chuo na sio kila koz inahitaji. Okay ata ivo wenzio tumeapply bila hizo IELTS
  5. MoroGent

    Kilimo cha horticulture ni kizuri sana ukizingatia mambo muhimu

    Mvua inahitaji Mbegu bora na resistant hasa kwenye fungal disease na bacterial one, e.g Imara na Assila F1. Dawa strong zinahitajika km OthelloTop na zingine nying. La sivyo hutoboi masika na weng hawatoboi that's why bei imechangamka
  6. MoroGent

    Kilimo cha horticulture ni kizuri sana ukizingatia mambo muhimu

    Mkuu, mazao mengi hapo uliyotaja ukivuna kuanzia October mpk May, bei yake ni nzuri, hasa ukilima kuanzia eka moja na kuendelea soko ni la muhakika kurudisha capital na faida nyingi hasa mikoa hiyo. Kwa njombe ni mbali sana kupata fuso ya kubeba mzigo mpk Dsm ukafika saa 12 asubuhi, na madali ni...
  7. MoroGent

    CONSULTANCY: Naomba uzoefu, Utaratibu gani unafuta kuwa Personal Consultant Tanzania

    Wakuu hope mko na Jumapili Mjarabu, Naomba kuuliza hili jambo kwa sababu ni moja ya kitu ninachotamani sana kufanya. Mimi ni mtaalam mzuri kwenye profession yangu niliyosomea hasa mafunzo (training). Nimefanya kazi kwenye baadhi ya miradi inayodhaminiwa na mashirika tofauti kwa miaka 5 sasa...
  8. MoroGent

    Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Sawa Mkuu, Kama unatafuta changamoto mpya upo sahihi. Go ahead, still uta-make, nia na uthubutu ndio msingi
  9. MoroGent

    Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] mkuu umetishaa
  10. MoroGent

    Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kwann usilime mazao ya HORTICULTURE. Au lima mazao manne ya matunda yaan passion, nanasi, banana na papai, lima eka moja moja tu jumla 4. Utamake mzee. Cashew nut utauza kwa mfumo wa ushirika, malipo shida, bei inabadipika, siasa na processing yake, Palm nakushauri for the future, sa iv kuna...
  11. MoroGent

    Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    [emoji120][emoji120][emoji120] Hii imeenda
  12. MoroGent

    Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    Natumai mko poa Wakuu, Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu. Kwa mfano; Mtu akiniita Mvunaji...
  13. MoroGent

    Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Mzumbe boy, mzee wa Mongwe, mzee wa ngama na nyuji, mzee wa chatu zone
  14. MoroGent

    Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Determination Is Our Motto
  15. MoroGent

    Mkopo wa HADHINA kwa Watumishi: Naomba uzoefu wa Namna ya kupata Mkopo huu na Changamoto zake

    Wakuu, Naamini mko salama kabsa. Naomba kuuliza, mkopo kwa watumishi wa serikali kutoka hazina kuu huwa unapatikanaje na mtumishi afanye nini kuupata? Nimesikia baadhi ya watumishi wakiwa wanazungumzia kuwa huu ni mkopo mzuri sana na riba yake ni ndogo ukilinganisha na mikopo ya watumishi...
Back
Top Bottom