Search results

  1. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Nawasalimu wana JF, naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam...
  2. M

    Matajiri 10 hawa hapa na 80% wamewekeza kwenye technology

    Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI karibia asilimia...
  3. M

    Mwendelezo utajiti wa dunia upo hapa

    UTAJIRI WA DUNIA UPO HAPA Je, unajua kuwa wawekezaji waliowekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano wana utajiri mkubwa. Kwenye teknolojia ya Mawasilianao ni kati ya Maeneo nyeti yanayo aminika kuwa na utajiri wa ajabu sana japo inahitaji kujitoa na kujituma ili ufanikiwe katika uwekezaji wako...
  4. M

    Online Chanel, Youtube, Instagram na Facebook ziangaliwe zina pesa

    Wadau najiuliza swali naomba mwenye jibu aniambie hivi nani anaelipa kodi kwa Serikali ya Tanzania mtumiaji wa hii mitandao au mmiliki wa hii mitandao. Kama ni miliki kivipi na kama si kweli kwanini asilipie mmiliki, na kama TZ hatufanyi nchi gani zinafanya hivyo? Kwa sababu ingekuwa vizuri...
  5. M

    Naomba msaada juu ya kampuni yangu

    Thanks2
Back
Top Bottom