Naomba msaada wa kutengeneza program inayohusisha API, USSD, vikifanya kazi ktk GSM network

Naomba msaada wa kutengeneza program inayohusisha API, USSD, vikifanya kazi ktk GSM network

wadau mimi ni mgeni humu ila naomba msaada wa anae weza au anaejua anaeweza kutengeneza program inayohusisha API, USSD, vikifanya kazi ktk GSM network niseme tu anaeweza kutengeneza software kama ya M-PESA au yenye actecture na flow diagram kama hizo
Mkuu nitafute nikuunge kwa mtu akusaidie..! Ila uwe unaeleweka maana jamaa hafanyi project kama hauko serious!
 
thanks mi nko serious naomba jinsi ya kukucontact thanks .plse
 
Faulu Solutions Tuna Fanya Hizo integration and many More ...
Please call 0758489386 Nikuonyeshe Demo ya a working App.
 
Faulu Solutions Tuna Fanya Hizo integration and many More ...
Please call 0758489386 Nikuonyeshe Demo ya a working App.
Do you ve any solution ya accounting ambayo ni very simple kwa mtu yeyote kuitumia?
 
Back
Top Bottom