Search results

  1. Jazajuan

    Nillam Jewellery & Accesories

    Karibu dukani kwetu;Tunauza Urembo aina mbalimbali kwa kina dada na wanawake kwa ujumla; NB:-Vito havichuniki wala kupauka! Unaweza kuthibitisha kabla ya kulipa;Dar ni free Delivery na mikoan tunatuma pia!! Mawasiliano:- 0744-786578 Utapata kwa Shilingi 25,000/= kwa set; -Cheni -Pete...
  2. Jazajuan

    Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
  3. Jazajuan

    Kwa matokeo haya achukue kozi gani?

    Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16 B.marth =B Phy =B Chem =B Bios =B Civ =B His =C Geo =C Kisw =C Eng =C Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB) Phy =D Chem =D Bios =B Swali;Je,unamshauri aombe kozi gani ya Degree au Diploma ambayo hatosombuka kwenye...
  4. Jazajuan

    Phone4Sale Infinix S5 Pro inauzwa

    Internal memory =64gb. Ram=4gb. Location ni Kinondoni studio. Contact ni 0683352362... Bei ni 260,000/=
  5. Jazajuan

    Naomba ushauri wa kufungua Duka la Chemical reagents

    Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara. Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani. Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
  6. Jazajuan

    INAUZWA Nauza jiko la gesi (mihan) lina gesi

    25,000/= fixed Sokota, Dar es salaam 0683352362
  7. Jazajuan

    Tushauriane kidogo kuhusu kozi ya food science, nutrition and dietics na kozi ya ICT pale open university ipi ina destination nzuri

    Habari wadau, Nina mdogo wangu wa kike ameona aombe kusoma open university lakini kutokana na mkanganyiko uliopo inamletea shida ni kozi ipi asomee Kati ya hizo mbili hapo juu na nyengine ya ziada ni Data management. Naomba tusaidiane kujadili kwa pamoja wanajamvi
  8. Jazajuan

    TCU wameamua kuongeza udahili wa kozi ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mbeya

    Haya kile kilio cha wanahitimu wengi wa PCB kuachwa katika maombi ya chuo... tena wengine wakiwa na ufaulu mzuri kuanzia Div 1 ya point 8,9,.. Div 2 ya point 10,11 na kuendelea sasa kimepata suluhisho ... kutoka na wengi kukosa chuo vyuo TCU wameamua kuongeza udahili wa kozi ya udaktari katika...
  9. Jazajuan

    ADMISSION LETTERS

    Habari za jioni wadau... Nilikuwa nauliza kwa wale tuliochaguliwa UDSM second round kama mmepata tetesi za admission letter kutoka coz nilipoenda mara ya kwanza waliniambia majina yameenda TCU kuwa approved... yatakaporudi chuoni... na wao watayarelease... sasa muda unakwenda... afu sie wengine...
Back
Top Bottom