Kwa matokeo haya achukue kozi gani?

Kwa matokeo haya achukue kozi gani?

Jazajuan

Senior Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
184
Reaction score
318
Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16
B.marth =B
Phy =B
Chem =B
Bios =B
Civ =B
His =C
Geo =C
Kisw =C
Eng =C
Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB)
Phy =D
Chem =D
Bios =B
Swali;Je,unamshauri aombe kozi gani ya Degree au Diploma ambayo hatosombuka kwenye ajira... NB:Muhimu zaidi ni ajira!!
 
Kama anataka pesa bila usumbufu nenda Radiology.
 
Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16
B.marth =B
Phy =B
Chem =B
Bios =B
Civ =B
His =C
Geo =C
Kisw =C
Eng =C
Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB)
Phy =D
Chem =D
Bios =B
Swali;Je,unamshauri aombe kozi gani ya Degree au Diploma ambayo hatosombuka kwenye ajira... NB:Muhimu zaidi ni ajira!!
Nenda electrical and biomedical engineering au electronics and auto electrics engineering kama una ndoto ya kujiajiri huko ATC ARUSHA ,
 
Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16
B.marth =B
Phy =B
Chem =B
Bios =B
Civ =B
His =C
Geo =C
Kisw =C
Eng =C
Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB)
Phy =D
Chem =D
Bios =B
Swali;Je,unamshauri aombe kozi gani ya Degree au Diploma ambayo hatosombuka kwenye ajira... NB:Muhimu zaidi ni ajira!!
Nenda pharmacy ,au lab udom na kcmc hutojutia
 
Back
Top Bottom