Search results

  1. Mnazareth

    Mwenye uwezo ni mmoja tu Sisi sote tunapita

    Wakati wengine wakiendelea na mfungo wa Ramadhani huku tukizidi kumkimbiza kimya kimya adui wetu mpya "Covid 19"ni vyema tukumbushane mambo kadha wa kadha yahusuyo maisha yetu, Tangu kuumbwa ama kuwepo kwa misingi ya ulimwengu vimepita vizazi vingi kwenye mataifa mbalimbali,wamepita...
  2. Mnazareth

    TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu amethibitisha kifo. Mtoto wa Marehemu Mama Rwakatare, Mutta Rwakatare amethibitisha kwa kusema "Ni bahati...
  3. Mnazareth

    "It is Well with my Soul", tungo iliyobeba ujumbe mzito katika maisha ya binadamu

    Miaka mingi imepita na siku nazo kusonga tangu Familia ya Mr Spafford aliyeishi huko Chicago Marekani kupatwa na dhoruba na mtikisiko mkubwa na huzuni kuu isiyo na kifani. Mr Spafford alikuwa Msomi tena mwanasheria mashuhuri wa aina yake huko Chicago America ambaye kwake yeye Utajiri haukucheza...
  4. Mnazareth

    Je, Upo uhusiano wa anguko la Socialism ama Ukomunist Afrika na umasikini unaokumba nchi nyingi Afrika!?

    Habari Wanajamvi! ! Nina imani tunaendelea vyema katika shughuli za uzalishaji Mali, natamani tutumie nafasi mujaraab tuzipatazo kuzidi kuweka udadisi kuhusu suala zima la "Ukomunist"ama " Ujamaa";Wazungu hapa wangeweza kusema Socialism na Communism Theory na hususani jinsi ulivyoshindwa...
  5. Mnazareth

    Ni vyema afya na furaha ya maisha viende pamoja

    Habari Waungwana!! natumai ni wazima na maisha yanaendelea licha ya changamoto za hapa na pale tunazokumbana nazo katika Jamii.... Kuna muda nafikiria Je tujikite kwenye Kujenga Afya au tuendelee kula maisha na Afya ifuate baadae, Nashindwa cha kufanya ila sasa najiuliza tena nifurahishe nafsi...
  6. Mnazareth

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Sijaelewa mantiki ya Zinedine Zidane kurudi tena kuifundisha Real Madrid. Kipi kimemsibu Florentino Perez na menejimenti kiujumla?? Yote kwa Yote ilikuwa ni suala la muda jambo hili litimie,Natumai wachezaji na benchi zima la ufundi morali itarudi upya. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom