Search results

  1. ankai

    Hawa maafisa mikopo wa online ni kero mno

    Kummk mi ata wafanyeje ni kwamba tayari washajilipa mchongo umeisha kiivyo. Ata waedit picha nafanyaje haina noma acha nidharirika lakin nao imekula kwao Kwa kiasi aalichonidhLilisha ni kwamba mchongo umeishia apo
  2. ankai

    Hawa maafisa mikopo wa online ni kero mno

    ***** hawa jamaa wanakera mno asee , wana mikwara balaa, wanapiga sound za hatari Yaani kwa siku wanapiga simu mpaka 100, sms zaidi ya 50 aisee Sasa kwa vile wanapenda kudhalilisha watu basi tufanye watakuwa wanajilipa kwa matusi na udhalilishaji wao Aisee wazee tayari mmeshajilipa kmmk...
  3. ankai

    Jamani Crown Athlete ni kali

    Siyo una gari inayotumia engine sawa na Crown apana Sema ivi nina mark x yenye engine ya 4Gr Kumbuka Crown na mark x zinatumia spare sawa yaani kuanzia engine mpaka gia box zote zinatumia sawa Tofauti ya Mark x na Crown inakuja kwenye muundo wa body tu
  4. ankai

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu naomba ya samsung A 14
  5. ankai

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaj pump ya. Petrol ile knayokaa juu ya engine gar mark x
  6. ankai

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Mimi ni timu ISRSEL wewe ambaye huipendi nenda kajinyonge chap Na mtachapika sana tu nyie wazushi
  7. ankai

    Njia mpya ya wizi tuwe makini, epuka kutapeliwa

    Acha pumbavu huu ni utapeli upo watu wanainiwa daly huna haja ya kubisha broo
  8. ankai

    Hotuba ya mwisho ya Muamar Gaddafi-aliyosema yametokea!

    Sasa ukristo umeuweka apo wa nini mzee wangu
  9. ankai

    Chalamila: Wakimvaa Rais Samia nami nitawavaa

    Chawa on the truck!!
  10. ankai

    Howo Vs Scania

    Wee ni wakala wa HOWO NA ZHUNGTONG!
  11. ankai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boom wewe komaa na matrain code chache hutaki kiweka unataka milion kwa buku!!
  12. ankai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aasa mwanangu wewe unataka jpate miliona kwa buku endelea kuisubiri meli kwenye lami mzee lakin kwa aliyeweka na akastake mzigo wa maana tayari sasa anacheka imagine kama umestake milion una sh nhap ya bure, akili mtu wangu ama uendelee kumtarisha kanji kwa matreni yako bwai!
  13. ankai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka nyumba ama kopa vunja kibubu maamuzi ni yako sasa wewe unayetaka kupata milion kwa buku endelea kusubiri chini ya mwembe au toka apa na meno yako ya kuungua
  14. ankai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Booom tena mitaa inashiba
Back
Top Bottom