ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,260
***** hawa jamaa wanakera mno asee , wana mikwara balaa, wanapiga sound za hatari
Yaani kwa siku wanapiga simu mpaka 100, sms zaidi ya 50 aisee
Sasa kwa vile wanapenda kudhalilisha watu basi tufanye watakuwa wanajilipa kwa matusi na udhalilishaji wao
Aisee wazee tayari mmeshajilipa kmmk kwa vitisho apa mmejilipa tayari!!