Search results

  1. G

    Tuutathimini uhusiano wetu na Israel

    Tulipokuwa na mahusiano ya kidiplomasia na Palestine,Israel walifunga balozi yao hivyo hivyo kwa muktadha huu Palestine wanaweza kufunga wa kwao pia.
  2. G

    Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

    LOWH02 unataka kujua maana ya neno ujinga? Kumbe uliandika bila kujua maana yake?
  3. G

    Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

    Kwa hiyo wenye mtazamo kinyume na wewe wote ni wajinga?
  4. G

    Kwa hili naona kama ni chuki

    Ujuma? Ndio nini hiyo mkuu?
  5. G

    Black Dahlia: Kifo cha kikatili zaidi kuwahi kutokea katika nchi ya Marekani

    Nazani =Nadhani Upererezi =upulelezi Mhariri huru.
  6. G

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    Nawewe weka kifungu cha kukanusha.
  7. G

    Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Salama[/color]....mbona inazingua?
  8. G

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Shweziniga Gavana na huyu naye Mlilia vifaranga eti Gavana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  9. G

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Acha kutishwa na watu ambao ardhi wameiuza nchi nzima wanakaa kuifanya ardhi yetu ni Ranch yao. Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  10. G

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Gavana Amenikera kumuita Mh.Rais eti masikini sasa km yy ni tajiri mbona analilia vindama!!!!! Bora wale ng'ombe wana akili kuliko huyo Gavana UCHWARA. Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  11. G

    Namna ya kuzuia wembamba wa kupitiliza

    Hujamuelewa mtoa mada, wembamba wake ni wa ukondefu, ni zaidi ya wembamba wakati wewe una maanisha u-model.
  12. G

    Namna ya kuzuia wembamba wa kupitiliza

    Sawa kwa hiyo unaonaje mara paaap unajikuta una kg 45 halafu paja na ugoko havieleweki huku mishipa ikiwa imekusimama km mrija wa catheter utafurshia hali hiyo?
Back
Top Bottom