mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,569
ukinenepa unakua na kibamia nakushangaa jamaa unalilia kumiliki kibamia.
Hapana huo wake ni extra MTU unatakiwa unawiri yaan una kaafya kazuri siyo mwembamba sio mnene afya ina heshima yake bwana.Wenzio tuna strugle kuupata huo wembamba wew unauchukia,..kwel dunia ina wenyew
Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Anachokichukia ni ule wembamba uliokithiri ambao unasababisha mpaka mishipa inaonekana, anakereka na hall hiyo hivyo km na wewe una unene uliokithiri nadhani hufurahii hali hiyo. (Obesity).Dooh yaani ninavyohangaika na diet ili nitoe haya makilo mwilini kuna mtu anahangaika anenepe
Ha ha ha mbona chache hizoahahaha una raha mie nilikua na 72 nw nina 71.5!
Sina unene uliokithiri sema unene tu siupendi...Anachokichukia ni ule wembamba uliokithiri ambao unasababisha mpaka mishipa inaonekana, anakereka na hall hiyo hivyo km na wewe una unene uliokithiri nadhani hufurahii hali hiyo. (Obesity).
Sawa kwa hiyo unaonaje mara paaap unajikuta una kg 45 halafu paja na ugoko havieleweki huku mishipa ikiwa imekusimama km mrija wa catheter utafurshia hali hiyo?Sina unene uliokithiri sema unene tu siupendi...
Ninavyopenda wembamba ntafanya partySawa kwa hiyo unaonaje mara paaap unajikuta una kg 45 halafu paja na ugoko havieleweki huku mishipa ikiwa imekusimama km mrija wa catheter utafurshia hali hiyo?
Hujamuelewa mtoa mada, wembamba wake ni wa ukondefu, ni zaidi ya wembamba wakati wewe una maanisha u-model.Ninavyopenda wembamba ntafanya party
HayaHujamuelewa mtoa mada, wembamba wake ni wa ukondefu, ni zaidi ya wembamba wakati wewe una maanisha u-model.
Shahawa ndo suluhisho but upate mchapaji mzuri.
Tuheshimiane ndugu kama ww shoga katafunwe peke yako
Mkuu kula dona ila uwe makini mwenzio nlikuwa na kg 61 nikaanza kupiga dona, nikashanga zile suruali zinazonivuka navaa bila mkanda, shati mikononi zinabana saivi nimeacha kula dona, yaani ndani ya siku 90 nilitoka 61kg to 80Ni vyakula gani mtu anaweza kutumia ili kuzuia wembamba wa kupitiliza hali hii ya wembamba inanikosesha raha mda mwingne, maana mimi ni mwembamba kupitiliza nilishawahi kwenda hosptalini kupima nikakutwa ni mzima sina tatzo lolote wala ugonjwa, ila tatizo langu kubwa huwa ni mwembamba sana afu sehem zangu za mguu pamoja na mapaja kuna mishipa mingi inaonekana pamoja na mikononi kiujumla hali hii inanikosesha amani kwan nabadili kila aina ya chakula ila bado sibadiliki hivyo nina iman humu wapo wataalam wanaoweza kunishauri kipi nifanye au nitumie ili niweze kuw na mwil wa wawastani
Sawa ahsante ndgUnajua umeshajijengea hofu kuhusiana na hali yako na unavyokula unakula kwa matokea ya kupata kitu Fulani na kisipotokea unanyongea cha kufanya relax unavyopangilia chakula chako kua huru usile kwa kutaka kunenepa Bali kula kwa afya utaona matokeo
alikujibu bila ya kujua jinsia yakoTuheshimiane ndugu kama ww shoga katafunwe peke yako
Ndio ila inabid awe makin kama hakuna umhimu usicomentalikujibu bila ya kujua jinsia yako
hivyo labda vinanenepesha obou na nguvu za kiume lkn sio mwili...!Nmesoma mahali kuwa juice ya tende, karanga na maziwa inanenepesha