Acha kutishwa na watu ambao ardhi wameiuza nchi nzima wanakaa kuifanya ardhi yetu ni Ranch yao.Na mjeda mmoja wa JW katika kupiga stori alionyesha wazi kuwa hofu yao kuu ni kwamba kwa tabia inayoonyeshwa na wakubwa, siku si mbali wataingizwa kwenye vita isiyo ya lazima, na mbaya zaidi wakiwa hawana morali ya utetezi wa nchi!!!
Hivi kwa ubabe huu ulioanza kuzaa majibizano mwisho wake ni nini hasa? Tafadhalini wenye akili yaangalieni haya kwa umakini, ili kutaka sifa kusije kutuingiza kwenye janga.
Hamna cha aibu wala nini. Mmepata upenyo tu wa kumshambulia Mheshimiwa Magufuli. Hamkosi la kusema nyie...Aibu yako baba jesica! Aibu yako kwa kuleta chuki baina ya nchi za Afrika Mashariki!! Aibu yako kuleta umaskini kwa wananchi wako na wa nchi jirani!! Aibu yako!!!
Shweziniga Gavana na huyu naye Mlilia vifaranga eti GavanaKwani Gavana ndo nani bwana?
Lo!Bird flu hits South Africa's poultry industry
Avian influenza, or bird flu, has hit the poultry industry in South Africa.
It's estimated that four million chickens have been, or are being, culled to stop the outbreak; and an egg shortage means prices could rise by as much as 20%. The BBC's Vumani Mkhize has more.
INGIENI GOOGLE MUONE WAFUGAJI KUKU WANAVYOLIA AFRIKA KUSINI.
Sasa hivi Afrika Kusini wanawasiwasi wakukumbwa na uhaba wa mayai na bei za mayai na kuku kupanda kutokana na hayo mafua ya kuku ambayo yamesambazwa na virus ambao hawajajua chanzo chake. Imebidi wachinje hata kuku wengine wazima kuzuia usienee zaidi.
Hao vifaranga kama waliingizwa kienyeji bila kufuata taratibu za kisheria nchini, ilikuwa ni lazima sheria ichukuwe mkondo wake. Kuna njia mbalimbali za kuhujumu uchumu wetu ambazo watu wanaweza kutumia. Tuache mihemko kufikiria sisi ndo wajuaji saaana kuliko hao wanaosimamia hizo sheria. Ingekuwa Kenya mnafikiri wangechekelea tu?
Ulizeni wakulima wa miti Iringa na Njombe, Kenya walifanyia nini miti yao ya Cyprus. Ndo mtajua ni jinsi gani hao `ndugu zenu wa Kenya wanavyowapenda´
Gavana wa Kaunti ya Kajiado Joseph Ole Lenku amekosoa kauli ya Rais Magufuli kuwa Tanzania sio shamba la kufugia mifugo.
Ameelezea jamii ya Wamasai upande wa Kenya na Tanzania wamekuwa na uhusiano mwema na kuwa kama kaka na dada na wamekuwa wakisaidiana kwa miaka mingi
Amesema kuna ng'ombe wengi kutokaTanzania wapo Kenya na uongozi wake umekua aibu sana kwa Afrika Mashariki kwa sababu ushirikiano uliokuwepo umeleta manufaa kwa pande zote mbili na kutumia mabavu kukamata mifugo imewaumiza watanzania na ni vyema ajue hilo
Ameongeza kujifanya unakuja na kifua mbele hakuna mahali atapeleka kifua mbele na umasikini wake ila hawatalipiza kwa Wamasai wa Tanzania waliopo Kenya kwa kuwa sio kosa lao
Unaijua katiba inayomuongoza? Nitajie kifungu alichokivunja ama kukikiuka. Taja pia amekikiukaje, nami nitakujibu kupitia hiyohiyo katiba.Huyo jamaa yako katiba anaifuata ?!
Ng'ombe wa Kenya waje huku?Watanzania wezangu Afrika moja iliishia wapi? Unafiki hukumu Tanzania ya CCM, Zanzibar hadi jumuiya ya Afrika Mashariki.
Na hapa ndipo tunapaswa kuufungua mjadala.. tunafanyaje? je tumeshaweza kufuga atka hali ya usasa ambao hauwezi kutegemea tabia nchi tena? je tunayo mitaji ya kuwekeza kufuga kisasa sana? tumewaandaaje wafugaji wetu kuangalia ubora na sio wingi? kama bado kwa muda hu tunapojiandaa kwenda huko, tunawasaidiaje wananchi wetu wafugaji kuendelea kufuga kwa kutegemea njia zao asilia? Kuna maswali mengi najiuliza, ambayo yananifanya nidhani hii yote ni wishful thinking... kama hatufanyi ku tackle hili tatizo kutoka katika mzizi....Udhibiti wa kuhama hama kwa mifugo toka nchi moja kwenda nchi nyingine ni jambo muhimu sana kama nchi ina nia ya kudhibiti magonjwa ya mifugo.
Kwa hili namuunga mkono JPM-swali ni kuwa tunadhibiti namna gani na wafugaji wetu tunawalindaje? Mahusiano mazuri hayamaanishi mifugi iende popote wakati wowote.
Hata movement ya mifugo ndani ya nchi ni kitu kinachotakiwa kudhibitiwa kwa umakini zaidi.
Hawa majirani walizoea sana kuchezea upole wetu. Wamekutana na Ngosha ambaye wala hapotezi usingizi wake kwa kumpa vipande vyake.Pumbavu kabisa hao wakenya wanaingiza mashambani rombo mifugo alafu wanakuka kupiga wananchi wakiwazuia kulisha mifugo
Nenda kaishi Kenya na hiyo Africa moja yako.Watanzania wezangu Afrika moja iliishia wapi? Unafiki hukumu Tanzania ya CCM, Zanzibar hadi jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hiyo aibu unayoizungumzia wewe ni matokeo ya kutofahamu ujirani/urafiki sio sio sababu ya kuvunja sheria kwa makusudi. Shame on youUongozi huu umekuwa wa aibu africa nzima
Swissme
But the President has no time for squabbling. He has given his stand on the matter and that's it. The governor and his turncoats can go hang.A county governor and a President squabbling! A mismatch.