Search results

  1. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    numbisa Na atug mnatupa raha Kwa kweli
  2. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Updates za Leo vp numbisa Na atug Sent from my Lenovo A1010a20 using JamiiForums mobile app
  3. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Thanks numbisa for updates
  4. L

    Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Kinachofanyika sasa ni kuiporomosha demokrasia Na ni uoga wa ccm Na pia uoga wa baadhi ya viongoz Na makada wa mpinzani. Kivipi ni uoga wa ccm ni Kwa sababu wanatumia nguvu kubwa sana kuwarudisha nyuma upinzan Kwa kutumia jeshi la police fursa za uongozi serikali Na mamlaka zote za...
  5. L

    Ukabila wa Lowassa hauvumiliki kabisa

    Huwez kumchafua lowasa Kwa vihoja vya kuokoteza Na dhaifu Sana rejea mahojiano yake jana kasema cyo dhambi kuhama chama Na anashangaa kusikia watu wanazusha eti viongoz wa ccm Na serikali wamekatazwa kuja kumtembelea nyumban kwake sasa hayo Maelezo yanamajibu ya maswali yako yote kila propaganda...
  6. L

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba ccm ikiiangusha chadema Kwa kuvuna viongoz wake Na wanachama ndyo itatawala milele kwan naamini njia nzur ya kuiangusha chadema ni Kufanya maendeleo ktk nchi kama huduma za jamii ajira miundombinu afya Na elimu kinyume chake ni kwamba wananchi wenyewe wataichoka...
  7. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Atug where are you
  8. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Pamoja Na mbinu ulizotoa numbisa we need you
  9. L

    Salimu Kikeke akipaka Poda.

    Cyo vzur kutoa fatwa ya dini Kama elimu yako ndogo unapotosha umma ni wapi uislamu umekataza mwanaume kupaka poda
  10. L

    Tamko la Tanzania Social Support Foundation (TSSF) juu ya kutokutambuliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Maelezo yamejitosheleza Na nimewaelewa wanavyojitambulisha Kama NGO kwahyo wao hawahitaji faida kuendesha shirika lao
  11. L

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Thanks numbisa muda mrefu nilikuwa naangalia Kama umeupdate
  12. L

    Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

    Sasa Kama hujampenda kimapenz sioni sababu ya ww kulileta hapa hili suala ili tukushauri Nafikir jibu unalo
  13. L

    Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

    Ni kweli waswahili husema mganga hajigangi sasa ujue mahusiano Na mtu yeyote hayana formula Kwa maana unakutana Na mke wako popote pale kwan nimeshawahi kusikia mwalimu kaolewa Na mwanafunzi wake Na vitu Kama hvyo Na hata ukirudi kwenye miiko yako Ni kwamba huruhusiwi kujiingiza kwenye mahusiano...
  14. L

    Juliana Shonza: Hizi siyo zama za kuijaribu Serikali

    Kiukweli Hawa vijana wanaopewa madaraka makubwa wanatuangusha Sana lakin sishangai kauli zake kwan si huyu aliyenusurika Kula kichapo Na kwakuwa mkuu anapenda wajeur ndyo kwanza kampa madaraka makubwa Kama Yule asiye Na vyeti
  15. L

    Kizazi cha kuhoji: Kama uchumi unakua na kuvunja rekodi, unamtoaje Ndulu? Au kavujisha data za hali tete?

    Lazma tukubali kwamba kuna kitu hakipo sawa kati ya magu Na ndulu ndyo maana leo Kafanya teuzi Na kamwambia ndulu akabidhi ofisi haraka hata Kama mtasema Kama muda wake wa kustaafu umefka basi naamini hakukuwa Na haja ya Kutangaza teuzi haraka haraka Kabla hata hajamaliza muda wake Nafikir...
  16. L

    Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

    Kitu nilichokiona Kwa muro Ni kwamba kuna mtu alimwambia kwamba una kipaji cha propaganda uchwara sasa hebu ihamishe hzo propaganda toka kwenye mpira hadi kwenye siasa zitakutoa Na Nafikir maneno hayo anayafanyia kazi kweli kweli sasa kinachotakiwa Na wanachadema kuwa smart zaid yake akileta...
  17. L

    Hivi suala la kukagua mizigo kwa abiria wa ndege domestic arrivals Tanzania, nalo ni amri ya Magufuli?

    Nakumbuka mkuu aliwapiga biti siku Ile pale terminal 1na akasema watu wanakuja Na private jet toka mikoani bila kukaguliwa sasa Nafikir Hawa wamejiongeza wanakagua abiria wote wanaoingia bila kuzingatia kuwa Hawa walikotoka wamekaguliwa kiukweli Ni usumbufu Na nidhamu za uoga zinatumaliza
  18. L

    Polepole: Makubaliano ya Acacia ni bora zaidi kuingiwa huenda kuliko yote duniani

    Haya maigizo yanazid kutuchosha hakuna jipya hapo Kama mnataka kuleta maendeleo ktk nchi anzeni kwenye katiba pale ndipo nchi inaanza kunyooshwa cyo upuuz wenu huu wa drama
  19. L

    Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Ni Jambo zuri kuwa Na bus za aina hzo Ila Nafikir shida kubwa ipo kwenye miundombinu kwan nikiangalia Safar ya Lusaka hadi south Africa barabara ni tambarare sikumbuki hata milima zaid Ya hapa Kabla hujaingia chilunda border Na pia ukiingalia hata malori yao semitrailer Ni ndefu sana zaid Ya...
Back
Top Bottom